United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 2,882
- 5,706
leo carlo kidogo kanikosha kitendo cha Varverde Carmavinga na Toni kucheza kweny Mstari mmoja afu Varlvede kusaidia full back kumelipa kwa kiasi chake
Idea ni kujilinda na kushambulia inapotekea nafasi, ila shida ni kwamba hiyo nafasi ikipatikana unakuta tuna mtu mmoja tu mbeleNaangalia mpira huku nmeshika tumbo mda wowote tunawekwa goli , huu mfumo wa kukaa nyuma sijaupenda
Vijana wakiwa watatu tu mbele wanatosha kabisa kuwatingisha City.,
Hivi militao ni msomali?Miltao nasikia yupo fit sa hv.
Yes. Ni mdogo wake BasheHivi militao ni msomali?
au P didyYes. Ni mdogo wake Bashe
Hivi militao ni msomali?
Tpaul banaYes. Ni mdogo wake Bashe
Kwa iyo naye ana tabia ya kuzibua mitaro.ana udugu wa kifamilia na Ali Msomali
Kwa iyo naye ana tabia ya kuzibua mitaro.