Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vini ana matatizo gani huyo dogo juzi kagombana na Laporte kaenda kumu attack wakati mechi imeisha baadae aanze kujiliza ubaguzi
 
Rumour has it. Lakini mi naona dogo hana cha kuprove, aletwe tu apige mabao. Media nyingine zinadai huenda Rodrygo akatiwa sokoni kitu ambacho mi siwezi kusuport hata siku moja.
Save this post. Rodrygo atauzwa kufidia signing fee ya mbabe na kuruhusu nafasi kwa mbape, vinni na jude kubaki kikosini. Japo kwa upande wangu rodrygo namkubali sana kuliko vini maana huwa anasaidia kukaba timu ikiwa inashambuliwa
 
papa perez anavompenda rodrygo hatoenda huyo dogo

msishangae vinny akaondoka one day just incase drama zake haziji kuchafua brand ya los blancos
 
Alafu kuna wapuuzi humu wanaleta leta vidomo vyao eti Jude ni Best Player kwenye timu, my foot
Jude bado hajafika peak tunayotarajia. Take it from me Jude anauwezo wa kukupigia namba 8 namba 10 na namba 9 ya FALSE ni ngumu kumuacha mtu kama huyo pale madrid. Ujio wa MBAPE utamtoa kafara Rodrygo japo kwa upande wangu RODRYGO namkubali sana hasa linapokuja swala la kuform shield tunaposhambuliwa. Game ile ya 2nd leg na LB LEPZIG rodrygo alituokoa sana.
 
Anayetoa ushauri wa kuuzwa kwa Rodrygo achungunzwe labda kachukua rushwa. Rodrygo ni decision maker, tumestrugle miaka kibao kutafuta striker, I don't know. Labda maPundits mtuelezee.
Sio ushauri, ninadhani wanaangalia angle ya uchezaji, ila kwa upande wangu ninaona bado Rodrygo ana nafasi kubwa sana ya kuendelea kuichezea Real Madrid, labda akate tu tamaa.
Ninachokiona ni kuwa tutabadilisha tu formation, turudi kwenye 4-3-3., hapo ina maana Jude atarudi chini kidogo., sioni Endrick akiingia moja kwa moja kwenye starting XI, so wakati huo ndio itakuwa nafasi ya Rodrygo kukipiga.

Lakini pia kwa upande wangu ninamuelewa zaidi Rodrygo kwani, ana uwezo wa kucheza nafasi zote tatu pale mbele, japokuwa anakuwa mkali sana akitokea winga ya kushoto, kwenye game dhidi ya Bilbao ninadhani mlishuhudia., uwezo wa kurudi wakati tunashambuliwa, upande wa kulia umekuwa mgumu sana kwa wapinzani wetu, kwa kuwa kijana anamsaidia sana Dani kwenye majukumu ya ulinzi akishirikiana na Valverde., so kwa upande wangu kijana ni asset kubwa na muhimu kwenye team yetu.
 
Kama tukiwa na mbappe Ni kheri Rodrigo abaki Ila Yule vin tuwape Liverpool watupe Taa,

Naona vin ana wenge Sana
Anayetoa ushauri wa kuuzwa kwa Rodrygo achungunzwe labda kachukua rushwa. Rodrygo ni decision maker, tumestrugle miaka kibao kutafuta striker, I don't know. Labda maPundits mtuelezee.

Redrigo ndio best attacker kwenye timu, lazima anahitajika acheze kwenye natural position yake.
 
Jude bado hajafika peak tunayotarajia. Take it from me Jude anauwezo wa kukupigia namba 8 namba 10 na namba 9 ya FALSE ni ngumu kumuacha mtu kama huyo pale madrid. Ujio wa MBAPE utamtoa kafara Rodrygo japo kwa upande wangu RODRYGO namkubali sana hasa linapokuja swala la kuform shield tunaposhambuliwa. Game ile ya 2nd leg na LB LEPZIG rodrygo alituokoa sana.

Siamini kama Jude ata develop zaidi ya pale, uzoefu wangu kwa English Players huwa hawa develop zaidi ya walipanzia,
 
Back
Top Bottom