Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Sasa hapa uhakika sasa., ni goli tatu na points 3 kwa wakati mmoja
Kijana ana uwezo mkubwa sana akiwa na mpira mguuni, shida ni ile tu sio mlinzi mzuri.., ndio maana Carlo anaanza na Rodrygo, Ninamsubiria huyu Arda akae vizurisema brahim diaz anauja sana
Vin na radrygo wakialternate kushoto kulia kulia kushoto modric akiwa katika master piece yake kupiga long passes japo sina uhakika kama atauweza mziki wa viungo wa cityzens. Ikiwa ivo tumetinga fainaliMkuu dawa ya city sa hv wengi washaipata,nina imani kubwa sana hawa tunawaweka tena wakikaa vibaya hata draw hawapati.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Overrated kivipi wakati mmoja wapo akichukua league na UEFA halafu England ikafanya vizuri EURO ana nafasi kubwa ya kuchukua Ballon d'or?hawa wote watapotea uwanjani kwenye hizo mechi. Overrated english brats
Hawawezi kupotea mkuuhawa wote watapotea uwanjani kwenye hizo mechi. Overrated english brats
Hawawezi kupotea mkuu