Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,489
Tumepiga shambulio moja tu tukatoka hapo na goli., pass matata sana kutoka kwa Tchouamen, Carvajal anatoa pasi ya upendo na Arda Guler anaweka mpira kambani.
HalaMadrid
HalaMadrid