Overrated kivipi wakati mmoja wapo akichukua league na UEFA halafu England ikafanya vizuri EURO ana nafasi kubwa ya kuchukua Ballon d'or?
kuchukua Ballon d'or sio kigezo cha ubora, Messi amebeba akicheza MLS kwa maana mtu yoyote anaweza kupewa mazingira yakimkalia sawa. Hoja ni uwezo wao ni wakawaida sana wanapata promo kubwa kutokana na Utaifa wao.