Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hata wasishinde kikombe kingine, ila wajitahidi hata waingie final mara mbili mfululizo ndio tunaweza kubishana nao, ila kwasasa bado wapo Chekechea wakati wenzao tunatafuta shahada ya pili
Mkuu kwenye uefa saiv Chelsea ni kama inataka kutawala kabisa ..hii Madirid ya Benzema na wazee wengine washajichokea ni bora timu iundwe upya ili iweze kuleta ushindani tena. Unaona akina mbappe wanagoma kuja, unadhani akija halaand watakuja kweli ..jibu ni hapana kwa sababu timu imeshajichokea. Uza wazee wote unda timu upya ..misimu minane mbele ndo tuanze kufikiria uefa..

Hala Madirid...
 

Official Announcement: Camavinga​


Real Madrid C. F. and Stade Rennais F. C. have reached an agreement over the transfer of Eduardo Camavinga, who joins the club on a six-year deal, until 30 June 2027.
 
Pérez katika ubora wake, jamaa ameona PSG wamembania kumtoa Mbappé sasa yeye ameamua sasa kuchukua kijana wao waliokuwa wamepanga kumsajili msimu ujao., Ubaya ubaya tu.
 
Aisee, huyu Dogo nilidhani club ilishaamua Kuachana nae kumbe bado walikuwa wanamfuatilia? Mliopata nafasi ya kuona akichezi hebu tujuzeni rile yake akiwa uwanjani, ninakumbuka niliwahi kuangalia game yao moja tu, sasa ni ngumu sana kutoa maamuzi kwa kuangalia game moja.
Kama hata athiri uwepo wa Antonio Blanco ndani ya kikosi sio shida, ila sasa kuna mpango wa kumsajili Pogba msimu ujao ama ndio itabidi Modric aondoke kupisha nafasi?
Dogo mzuri aise. Yupo flexible sana, ana skills na anakaba vizuri.
 
Dogo mzuri aise. Yupo flexible sana, ana skills na anakaba vizuri.
Nimepita you tube huko kiukweli yupo vyema, sio mbaya sana na kwa upande wangu ninaona ni signing nzuri tu, imagine tumemtoa Martin kwa €40 then unamchukua huyu Dogo kwa €30, kwa kuwa utatu wa Casemiro Toni na Luka upo ukingoni ni muda muafaka sasa wa kuwapika hawa vijana tutengeneze utatu mwingine kwa miaka 10 ijayo.
 

Mbappé rejected PSG 'super offer'

Le Parisien is reporting that PSG offered Mbappé a two-year deal on 45 million euros net a year (more than Messi and Neymar)... and Mbappé rejected. Goodness
 
Ninaona Mbappé anaendelea kuwakazia PSG, wasije tu wakamzingua kama walivyofanya wa Rabbiot wakati amekataa kusign mkataba mpya, inaonekana dogo mpango wake ni kuondoka hapo PSG wala sio shida ya fedha, wenzetu wapo vizuri kiukweli.
 

0-1: On to the Champions League group stage​

Zornoza netted a historic goal to knock Manchester City out and send Real Madrid into Europe's top 16.
 
INFORMATION DAY : - Five things you did not know about the new Santiago Bernabéu 🤩 - 1. The club expect to host events 300 days of the year at their stadium once it's completed, including concerts, business conferences, e-sports tournaments and even basketball and tennis matches. The secret to having such a multifunctional stadium is the Bernabéu's retractable pitch, which can be withdrawn after matches to enable the club to hold any number of events not related to football. - 2. The new Bernabeu roof will make the stadium less colder during winter and help maintain an ideal temperature for fans to watch the game. The Bernabeu used to implement more than 1300 natural gas heaters in the past to keep an ideal temperature during a match in cold temperatures. The new stadium will still keep its infrared heaters but they will not run on natural gas anymore. To keep it more nature-friendly, renewable energy sources will now be used instead. - 3. In order for the spectators to find a quick accommodation in their seats, the club will deploy an attention plan on the outskirts of the stadium to correctly direct them towards the destination gates. The changing rooms are already operational and will be sealed to avoid COVID infections according to La Liga regulations. Next week, a multitude of lines of work that have been paralyzed since yesterday will be activated again. - 4. Another feature is a roof which can be completely closed over, giving visitors the chance of a panoramic view of the city from the top of its most iconic stadium. - 5. The new Bernabéu also boasts state of the art technology which can project images onto the entire outside surface of the stadium, as well as a 360-degree scoreboard inside the stadium. - 6. Another secret which Real Madrid have kept under wraps is the addition of an extra tier inside the stadium, which will provide an extra 4,000 seats. - 7. A shopping centre will be attached to the stadium, with a Real Madrid museum, multinational shops and various Michelin star restaurants, and the Plaza Sagrados Corazones has been pedestrianised, providing a green space for fans to meet before the match. - The new Bernabéu is going to set to be the benchmark for all modern stadium moving forward.
 
Middle finger
giphy.gif
Hahahaha dah wewe jamaa bwana..
 
Wakuu hivi kumbe mihimili yetu ya center backs wote wametukimbia.

Sasa kina nani wanachukua nafasi za Ramos na Varane pale nyuma?

Tumekwisha ahaaaa!!
 
Back
Top Bottom