Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Haya mambo ya kusubiri hua siya amini kabisa inaweza fika January dogo akapewa offer ya maana kwingine ikala kwetu

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ila nimesoma taarifa moja, kumbe kuna uwezekano wa kukubaliana na mchezaji then wakawekeana pre contract agreement hata kama transfer haitafanyika sahivi. Japo naona Perez anapambana kieleweke kabla ya international break
 
Hiyo ni mpaka January ndio inaweza, sijui Perez amejipanga vp kuhakikisha kuwa Dogo hata sign mkataba mpya na PSG ama na team nyingine kutokea kipindi hichi mpaka hapo January, wasi wasi wangu isije ikajirudia ile ya De Gea (japokuwa kwangu ninaona ni afadhali hatukumsajili.)
 
Kabisa. Bora kukomaa tumchukue sahivi. Mbeleni huko hatujui nini kitatokea. I hope Perez atakomalia hadi kieleweke
Kweli man, japokuwa pesa jamaa wanayotaka ni ndefu, ila ni afadhali tukamalizana nae msimu huu kabisa, msimu ujao ikabaki kufanya biashara na Mino tu kwenye deals ya Pogba na Haaland
 
Hatuna shida na utaalamu wako, una hangaika na club isiyo kua size yako

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hapa kwa mbappe Madirid tumepigwa au tunaelekea kupigwa. Kwa sisi wataalam tunaona kabisa hii timu ni cr7 pekee ndo alipatia ila hawa madogo wengne kwa sasa tutapoteza hela tu ..unakumbuka hata Chelsea ilivyotubamiza? Hii timu Kwa sasa itachukua almost ten years kujenga tena.
 
Kweli man, japokuwa pesa jamaa wanayotaka ni ndefu, ila ni afadhali tukamalizana nae msimu huu kabisa, msimu ujao ikabaki kufanya biashara na Mino tu kwenye deals ya Pogba na Haaland
Apo Halaand lazima aende Chelsea hatuoni kama yuko tayari kuja madirid hata Pogba hana muda na hii timu
 
Apo Halaand lazima aende Chelsea hatuoni kama yuko tayari kuja madirid hata Pogba hana muda na hii timu
Muda ndio utasema, kama mlikuwa mna nia ya kumnunua Haaland wala msingehangaika na Lukaku, Pogba kuanzia my. January mwakani atakuwa free kuongea na club yoyote atakayohitaji kwenda, so kama Madrid watahitaji huduma yake wataongea na wakala wake.
 
Hapa kwa mbappe Madirid tumepigwa au tunaelekea kupigwa. Kwa sisi wataalam tunaona kabisa hii timu ni cr7 pekee ndo alipatia ila hawa madogo wengne kwa sasa tutapoteza hela tu ..unakumbuka hata Chelsea ilivyotubamiza? Hii timu Kwa sasa itachukua almost ten years kujenga tena.
Real Madrid sio Chelsea, kaeni kwa kutulia,
 
Muda ndio utasema, kama mlikuwa mna nia ya kumnunua Haaland wala msingehangaika na Lukaku, Pogba kuanzia my. January mwakani atakuwa free kuongea na club yoyote atakayohitaji kwenda, so kama Madrid watahitaji huduma yake wataongea na wakala wake.
Mkuu hii timu yetu Madirid imekuwa takataka sidhani kama Halaand na Mbappe wataeza kuja hapa maana tumepoteza mvuto kabisa.
 
Nasikia camavinga katua bernabeu
1630359345175.png

1630359375460.png
 
Aisee, huyu Dogo nilidhani club ilishaamua Kuachana nae kumbe bado walikuwa wanamfuatilia? Mliopata nafasi ya kuona akichezi hebu tujuzeni rile yake akiwa uwanjani, ninakumbuka niliwahi kuangalia game yao moja tu, sasa ni ngumu sana kutoa maamuzi kwa kuangalia game moja.
Kama hata athiri uwepo wa Antonio Blanco ndani ya kikosi sio shida, ila sasa kuna mpango wa kumsajili Pogba msimu ujao ama ndio itabidi Modric aondoke kupisha nafasi?
 
Pesa nyingi sana zile walikuwa wanahitaji wakati mcm ujao atakuja bure sasa niwakati wakuzipeleka kwa haaland na pogba
Kama Perez ana uhakika kuwa Mbappé anaweza kuja mwakani bure hakuna haja ya kuongeza pesa zaidi kiukweli, pesa iliyotolewa ninaona kama ilitosha kabisa haswa ukizingatia kuanzia January mwakani tunaweza kumalizana nae
 
Back
Top Bottom