Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuu hivi kumbe mihimili yetu ya center backs wote wametukimbia.

Sasa kina nani wanachukua nafasi za Ramos na Varane pale nyuma?

Tumekwisha ahaaaa!
Team yoyote ni lazima ipitie mabadiliko, sioni kwanini unasema tumekwisha wakati hata hao wakati wanacheza tulikuwa tunfungwa na walikuwa wanafanya makosa pia, suala la ulinzi ni la wote na sio beki tu, team ikishirikiana kujilinda hata ubovu wa beki hautouona.
Ninadhani tunapoelekea combination ya Militao na Alaba itakuwa poa zaidi, Nacho sio mtu wa kumwamini sana, ana kujisahau muda mwingine.
 
Hii club yetu imepoteza mvuto ..imekuwa kama takataka ni arsenal iliyochangamka.
 
Huyu jamaa sina uhakika kama amekuwa akifuatilia game zetu, atakuwa amevamia jukwaa ama inawezekana ni type za yule jamaa mwingine
We msifiaji bila shaka umeona bayern alichofanya kwa Barcelona fc, kule ndio tunaita timu imecheza vizuri sio kujazana ujinga na kukimbilia visingizio vya mtaani( hujui mpira, hujaangalia mechi au huangalii mechi zetu).
 
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans anasema kwamba anaweka hatma yake wazi huku akiendelea kujadiliana kuhusu mkataba wake na klabu ya Leicester. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amehusishwa na uhamisho wa Liverpool, Manchester United , Barcelona na Real Madrid..
 
Endelea kujitoa ufaham.
Mkuu acha mihemko.. Hakuna timu inabaki kwenye kiwango chake forever.. Kuna kupanda na kushuka..

Na timu haibadiliki over night.. Hata Madrid iliyochukua vikombe mfululizo haikuamka tu asubuhi ikawa bora. Timu inajengwa taratibu.

Swala la wachezaji wenye majina nayo sio issue pia. Tulikua na galactico ya wakina Ronaldo na haikushinda kikombe chochote cha maana, Baca iliyokua na wakina Iniesta haijawahi tetea champions league.

Kama wewe shabiki wa mpira kweli na una uelewa huwezi leta ligi ya mabishano isiyo na maana. Hembu tulia tu maana hata porojo zako haziwezi badilisha kitu.

Relax and enjoy football.
 
Our starting XI vs Inter Milan

Real Madrid's starting XI: Courtois, Carvajal, Militao, Alaba, Nacho, Casemiro, Modric, Valverde, Vinicius, Benzema, Lucas Vazquez
 
So far Courtois ndio man of the match kwa upande wetu, Hopefully kipindi cha pili team itabadilika, 4 4 2 ninadhani ingependeza zaidi, acha tuone Ancelotti atakuja na majibu gani.
 
So far Courtois ndio man of the match kwa upande wetu, Hopefully kipindi cha pili team itabadilika, 4 4 2 ninadhani ingependeza zaidi, acha tuone Ancelotti atakuja na majibu gani.
Second half tumeweza ku control mchezo vizuri.
The future is promising with these kids.
 
Second half tumeweza ku control mchezo vizuri.
The future is promising with these kids.
Kabisa man, kipindi cha pili team ilicheza vizuri kwa kweli, Leo mipira mizuri ilikuwa inamdondokea Vinicius halafu anazingua, mwenzie Rodrygo kapata nafasi moja tu na akafunga., Sema ile pass ya Valverde kwa Camavinga ilikuwa ya kibabe sana.
 
Hata assist aliyopiga Camavinga nayo alitulia sana. Madogo wapo vizuri. Ni swala la muda tu.
 
Alaba yupo vizuri kiukweli, kama combination yake na Militao ikikaa vizuri, basi tutakuwa na backline nzuri sana, plus Courtois Leo alikuwa kwenye Ubora wake, kafanye save a zaidi ya tano., Kwangu Mimi jamaa ndio alikuwa Man of the match.
Courtois anastahili, Mendy akirudi kutatulia zaidi. Benzema hakupata service ya maana leo, kwa Camavinga mchezaji tumepata.
 
Kabisa man, kipindi cha pili team ilicheza vizuri kwa kweli, Leo mipira mizuri ilikuwa inamdondokea Vinicius halafu anazingua, mwenzie Rodrygo kapata nafasi moja tu na akafunga., Sema ile pass ya Valverde kwa Camavinga ilikuwa ya kibabe sana.
Vini sitegemei kama atabadilika sana, kaanza kucheza ligi kuu kwao huko tangu ana miaka 16 hadi leo ana 21 na bado yupo vilevile, tegemea leo akicheza vizuri kesho hovyo. Rodrygo goli huwa analijua ni basi tu huwa hapewi sana nafasi.
 
Back
Top Bottom