Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tumeshinda lakini bado uwezo wetu upo chini. Vinicius Jr, Asensio, Hazard na Nacho tuwauzie Arsenal Fc, casemiro nae uwezo umeshuka. Hakuna intensity ya kutosha kupambana na timu za uingereza au Bayern kwa sasa.
 
Hiv uko siriaz kweli hapo kwa vinicious
 
Hahahaha kwa iyo arsenal ndio timu ya kubebeshwa mafurushi siyo ..hahahaha arse8 wazee wa bei cheee bei aka za jioni...cc @Carst
 
Hahaha yani kwa Hazard Chelsea walitupiga pakubwa sana. Bado tukawapa na Covavic ..Hahaha kuna mdau kapendekeza eti tuwauzie arsenal ya uingereza.

Hii timu yetu Madirid kwa sasa ni tia maji tu haina mvuto tena ..hapa tuesabu misimu kama mitano au sita mbele hiv au mnaonaje ndugu zanguni??
 
Hiv uko siriaz kweli hapo kwa vinicious
Mechi ya jana kwa mfano, amepoteza mipira mingi kirahisi. Ile penati mechi za Uefa hawakupi na goli lake hakuwa na yeyote ya kumsubumbua. Kwangu bado sio world class player. Benzema bado anahitaji world class wingers wa kumpa support.
 
Itakua ulisimuliwa hauku angalia mpira
Mkuu upo sahihi kabisa.. Anaangalia matokeo live score.
Binafsi ni muda sana sikuwahi kuona Madrid wakicheza kwa intensity ya jana. Sehemu kubwa iliyokua na changamoto ni defense.
Mtu anakwambia Viny auzwe . Dogo ana goli 4 mechi 4 na anakiwasha kweli kweli..
Watu wanasahau ndio kwanza ligi imeanza.
 
Nimeangalia ila sidanganyiki na matokeo. Celta vigo walikuwa wanatengeneza nafasi kirahisi sana na sio mabeki tu wenye matatizo kama ulivyosema hadi viungo walikuwa wazembe( casemiro amekabia macho sana na kapoteza pasi za kutosha). Huyu vini mnayemtetea hapa anaweza kupata namba liverpool, manchester united, man city au chelsea? Infact hata jana alizingua sana unless umeangalia hilo goli lake tu.
Hatukuwadominate celta hilo liko wazi na hata wao wangekuwa na benzema wangeweza kupata 3 au 4.

Unafurahia intensity ya jana, je uliangalia match ya liver na chelsea? Tunaweza kushindana nao kwa sasa.
 
Sisi wenye madrid yetu kwa misimu hii miwili iliyopita tunayaona mabadiliko
 
Mabeki wa kati wametepeta sana. Vinicius Jr na Hazard ni mizigo tu, Hazard ndio hadi miguu haina nguvu ya kupiga mashuti.
Mkuu huwa unafuatilia team ama huwa unaangalia matokeo tu? Jana tulipata shida upande wa ulinzi ni kweli kabisa, ila ni lazima uangalie na mazingira yaliyosababisha hiyo ishu kutokea, kwanza Nacho ndio amerejea kutoka kwenye matibabu, ana siku mbili tu amefanya mazoezi na wenzake, Pili Militao alirudi Ijumaa jioni kutoka kwenye majukum ya Kitaifa, wewe unadhani anaweza kucheza kwa utimamu sawa na wengine?
Hii case ipo Sawa kwa Valverde na Casemiro pia, tuwape muda bado wana uwezo mzuri na nina Imani team itaimarika haswa baada ya Mwalimu kupata team yake ya kimashindano.

Kwa upande wa Hazard, bado hayupo sawa, jina linambeba ila sio kiwango, Ile nafasi aliyopewa ya kuanza ni afadhali angepewa Rodrygo, at least amecheza upande wa kulia si asingepata shida kama aliyoipata Hazard.

Kwa upande wa Vinicius, man hujamtendea hakuna kabisa, Kijana amekuwa, tuliomwangalia tokea anafika mpaka sasa wanaweza kuelewa nilichoandika hapa, Sasa hivi sio ana dribble tu, anapiga na pass za uhakika akifika kwenye 18 ya adui, plus anafunga, ilikuwa nadra sana kupata vitu hivyo kutoka kwake.
 
Mechi ya jana kwa mfano, amepoteza mipira mingi kirahisi. Ile penati mechi za Uefa hawakupi na goli lake hakuwa na yeyote ya kumsubumbua. Kwangu bado sio world class player. Benzema bado anahitaji world class wingers wa kumpa support.
Wewe jamaa una matatizo, haikuwa penalty kivipi tena, yaani hata kitu cha wazi vile kilihitaji mjadala? Inawezekana kweli haukuangalia mpira man, lile goli ulitaka afunge vp ndio liwe goli man, tangu lini tumeanza kuangalia goli lilivyofungwa, watu mpira unamgonga mpira unaingia ndani goli linahesabiwa sembuse goli lile?
 
Mkuu huwa unafuatilia team ama huwa unaangalia matokeo tu? Jana tulipata shida upande wa ulinzi ni kweli kabisa, ila ni lazima uangalie na mazingira yaliyosababisha hiyo ishu kutokea, kwanza Nacho ndio amerejea kutoka kwenye matibabu, ana siku mbili tu amefanya mazoezi na wenzake, Pili Militao alirudi Ijumaa jioni kutoka kwenye majukum ya Kitaifa, wewe unadhani anaweza kucheza kwa utimamu sawa na wengine?
Hii case ipo Sawa kwa Valverde na Casemiro pia, tuwape muda bado wana uwezo mzuri na nina Imani team itaimarika haswa baada ya Mwalimu kupata team yake ya kimashindano.

Kwa upande wa Hazard, bado hayupo sawa, jina linambeba ila sio kiwango, Ile nafasi aliyopewa ya kuanza ni afadhali angepewa Rodrygo, at least amecheza upande wa kulia si asingepata shida kama aliyoipata Hazard.

Kwa upande wa Vinicius, man hujamtendea hakuna kabisa, Kijana amekuwa, tuliomwangalia tokea anafika mpaka sasa wanaweza kuelewa nilichoandika hapa, Sasa hivi sio ana dribble tu, anapiga na pass za uhakika akifika kwenye 18 ya adui, plus anafunga, ilikuwa nadra sana kupata vitu hivyo kutoka kwake.
Sasa mbona unakubali udhaifu niliouna mechi ya jana isipokuwa vini jr, hawa wenzako hapa wanasema tumecheza vizuri. Ishu ya vini jr binafsi bado simtaki ingawa naheshimu mawazo yako. Unakubali nini na unakataa nini
 
Wewe jamaa una matatizo, haikuwa penalty kivipi tena, yaani hata kitu cha wazi vile kilihitaji mjadala? Inawezekana kweli haukuangalia mpira man, lile goli ulitaka afunge vp ndio liwe goli man, tangu lini tumeanza kuangalia goli lilivyofungwa, watu mpira unamgonga mpira unaingia ndani goli linahesabiwa sembuse goli lile?
Sijui kama umesoma ukaelewa. Sijapinga goli lolote nilichosema goli la kwanza hakukabwa na ile penati kwangu naona ni nyepesi sidhani kama mechi za Uefa wanakupa.
 
Nimeangalia ila sidanganyiki na matokeo. Celta vigo walikuwa wanatengeneza nafasi kirahisi sana na sio mabeki tu wenye matatizo kama ulivyosema hadi viungo walikuwa wazembe( casemiro amekabia macho sana na kapoteza pasi za kutosha). Huyu vini mnayemtetea hapa anaweza kupata namba liverpool, manchester united, man city au chelsea? Infact hata jana alizingua sana unless umeangalia hilo goli lake tu.
Hatukuwadominate celta hilo liko wazi na hata wao wangekuwa na benzema wangeweza kupata 3 au 4.

Unafurahia intensity ya jana, je uliangalia match ya liver na chelsea? Tunaweza kushindana nao kwa sasa.
Wewe haukuangalia mpira man, ni nani hawezi kucheza hizo team kutoka Real Madrid?
 
Huyu jamaa sina uhakika kama amekuwa akifuatilia game zetu, atakuwa amevamia jukwaa ama inawezekana ni type za yule jamaa mwingine
Ni wakuacha tu hawa. Hamna haja ya kubishana nao.. Angemsikiliza angalau commentator jana akizungumzia changamoto za jetlag angeelewa..
 
Back
Top Bottom