Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,096
- 5,164
Bado vijana wetu hawajatulia wakifika eneo la hatari ya team pinzani, nafasi tunatengeneza sasa kufunga ndio imekuwa shughuli pevu, second half tukitulia tutapata magoli!!
Bado vijana wetu hawajatulia wakifika eneo la hatari ya team pinzani, nafasi tunatengeneza sasa kufunga ndio imekuwa shughuli pevu, second half tukitulia tutapata magoli!!
Militao kiukweli amekuwa na wakati mzuri sana, Leo alionyesha alikuwa na nia ya kufunga, mara mbili golikipa alichomoa ila ya Tatu akashindwa, goli lake lilikuwa la muhimu sana.Eder kapiga shughuli sana leo.. Nilikua nasubiri goli lake tu.
Real Madrid sio FulhamEder kapiga shughuli sana leo.. Nilikua nasubiri goli lake tu.
Sorry kwa kuchelewa kujibu, siku nyingine Mkuu ujaribu hesgoal.com.Mwenye Link ya madrid tafadhari.
Atleast Fulham wamepata ontarget nyingi kuliko nyie .mmejiandaaje kutoka uefa?Real Madrid sio Fulham
Antonio Blanco kama kawaida amekiwasha tena sana, dogo utadhani ni regular first team, dogo aliyemreplace Marcelo, Gutierrez na yeye amecheza vizuri sana kuliko hata Marcelo kiukweli, pia Aribas amecheza vizuri, hiki kizazi cha Real Madrid Castilla ninaweza kukifananisha na kile kizazi cha akina Lucas Vasquez, Morata, Jesse Nacho etc, Raul ana vijana wazuri sana,
Yeye na Nacho wamekua vizuri katika kipindi ambacho wameitajika sana.Militao kiukweli amekuwa na wakati mzuri sana, Leo alionyesha alikuwa na nia ya kufunga, mara mbili golikipa alichomoa ila ya Tatu akashindwa, goli lake lilikuwa la muhimu sana.
Shukrani sana chief.Sorry kwa kuchelewa kujibu, siku nyingine Mkuu ujaribu hesgoal.com.
Labda tuwaulize nyie, sie UCL ni home, kama nyie ni wageni basi karibuni!!Atleast Fulham wamepata ontarget nyingi kuliko nyie .mmejiandaaje kutoka uefa?
Madogo wa Castilla kiukweli wapo poa sana, shida man inaanzia tunashindwa kuwa na imani nao, utaweza kuona case za akina Morata, Marcos Llorente etc, tunakuwa na vijana wazuri ila tunakimbilia kwenda kununua watu huko kwa bei ghali halafu wanazingua, angalia case kama ya Ashraf Hakimi, tunamuuza unaenda kumnunua OrdiozolaYeye na Nacho wamekua vizuri katika kipindi ambacho wameitajika sana.
All in all kuna hawa madogo kutoka Castilla wanakiwasha sana.. Wakipata uzoefu vizuri kuna timu nzuri ya badae
Katika blunder tulifanya ni kumuuza HakimiMadogo wa Castilla kiukweli wapo poa sana, shida man inaanzia tunashindwa kuwa na imani nao, utaweza kuona case za akina Morata, Marcos Llorente etc, tunakuwa na vijana wazuri ila tunakimbilia kwenda kununua watu huko kwa bei ghali halafu wanazingua, angalia case kama ya Ashraf Hakimi, tunamuuza unaenda kumnunua Ordiozola
Ile ninajua hata Zidane hakupenda ila alielewa, tulikuwa kwenye shinikizo la kubalance account zetu ili tuende Sawa na jamaa wa FFP, halafu kilichotokea sasa Inter wakashindwa kutulipa, ninadhani mpaka sasa hawajafanya hivyo, ni kama tuliwapa yule dogo bure man, Kibongo bongo tungeenda kudai arudishwe, ila tunapoelekea na hali ya Dani kupata majeraha mara kwa mara tunaweza kwenda kumnunua tena.Katika blunder tulifanya ni kumuuza Hakimi