Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bado vijana wetu hawajatulia wakifika eneo la hatari ya team pinzani, nafasi tunatengeneza sasa kufunga ndio imekuwa shughuli pevu, second half tukitulia tutapata magoli!!

Antonio Blanco kama kawaida amekiwasha tena sana, dogo utadhani ni regular first team, dogo aliyemreplace Marcelo, Gutierrez na yeye amecheza vizuri sana kuliko hata Marcelo kiukweli, pia Aribas amecheza vizuri, hiki kizazi cha Real Madrid Castilla ninaweza kukifananisha na kile kizazi cha akina Lucas Vasquez, Morata, Jesse Nacho etc, Raul ana vijana wazuri sana,
 
Dogo Aribas uchezaji wake naufananisha na paul dyabala kabisaa
 
Militao kiukweli amekuwa na wakati mzuri sana, Leo alionyesha alikuwa na nia ya kufunga, mara mbili golikipa alichomoa ila ya Tatu akashindwa, goli lake lilikuwa la muhimu sana.
Yeye na Nacho wamekua vizuri katika kipindi ambacho wameitajika sana.
All in all kuna hawa madogo kutoka Castilla wanakiwasha sana.. Wakipata uzoefu vizuri kuna timu nzuri ya badae
 
Yeye na Nacho wamekua vizuri katika kipindi ambacho wameitajika sana.
All in all kuna hawa madogo kutoka Castilla wanakiwasha sana.. Wakipata uzoefu vizuri kuna timu nzuri ya badae
Madogo wa Castilla kiukweli wapo poa sana, shida man inaanzia tunashindwa kuwa na imani nao, utaweza kuona case za akina Morata, Marcos Llorente etc, tunakuwa na vijana wazuri ila tunakimbilia kwenda kununua watu huko kwa bei ghali halafu wanazingua, angalia case kama ya Ashraf Hakimi, tunamuuza unaenda kumnunua Ordiozola
 
Katika blunder tulifanya ni kumuuza Hakimi
 
Antonio Blanco
1619802533_951149_1619802811_noticia_normal_recorte1.jpg
 
Katika blunder tulifanya ni kumuuza Hakimi
Ile ninajua hata Zidane hakupenda ila alielewa, tulikuwa kwenye shinikizo la kubalance account zetu ili tuende Sawa na jamaa wa FFP, halafu kilichotokea sasa Inter wakashindwa kutulipa, ninadhani mpaka sasa hawajafanya hivyo, ni kama tuliwapa yule dogo bure man, Kibongo bongo tungeenda kudai arudishwe, ila tunapoelekea na hali ya Dani kupata majeraha mara kwa mara tunaweza kwenda kumnunua tena.
 
Real Madrid squad list: Ramos, Mendy, Marcelo and Valverde included for trip to Stamford Bridge.​

Goalkeepers: Thibaut Courtois, Andriy Lunin, Diego Altube.

Defenders: Eder Militao, Sergio Ramos, Nacho Fernandez, Marcelo, Alvaro Odriozola, Ferland Mendy, Miguel Gutierrez.

Midfielders: Toni Kroos, Luka Modric, Casemiro, Isco, Fede Valverde, Sergio Arribas, Antonio Blanco.

Forwards: Eden Hazard, Karim Benzema, Marco Asensio, Vinicius Junior, Mariano Diaz, Rodrygo Goes.
Hasta el final., Vamoos Real
 
Back
Top Bottom