Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,074
- 5,119
Ile ninajua hata Zidane hakupenda ila alielewa, tulikuwa kwenye shinikizo la kubalance account zetu ili tuende Sawa na jamaa wa FFP, halafu kilichotokea sasa Inter wakashindwa kutulipa, ninadhani mpaka sasa hawajafanya hivyo, ni kama tuliwapa yule dogo bure man, Kibongo bongo tungeenda kudai arudishwe, ila tunapoelekea na hali ya Dani kupata majeraha mara kwa mara tunaweza kwenda kumnunua tena.Katika blunder tulifanya ni kumuuza Hakimi