Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,160
Ni aina gani ya mfumo Zidane atakaotumia second leg inategemea na uwepo wa either Mendy ama Valverde, ninasema hivyo Kwa kuwa ukiwa na Mendy unajua upande wako wa kushoto upo safe na Valverde anaongeza kasi ya mchezo pamoja na pressing, Sasa ukiwa na nyongeza ya aina ya hao vijana utaona ni namna gani game itabadilika, ina maana Kroos na Luka watatoka kuziba nafasi za wings back wetu wao kazi yao itakuwa ni ku detect tempo ya game tu. Tusiongee acha muda utaongea, mabdiliko mtayaona.Nakwambia kabisa mkuu mkicheza 4 3 3 mnatakuwa na hatari ya kufungwa kirahisi kwsbbu hao wachezaji wenu wa huko mbele yaani Vini Jr na Asensio na Benzima ni wavivu kukaba kwahiyo timu muda wote itakua na wachezaji saba tu.
Sasa kwa huu mfumo Chelsea itawasumbua. Bora mcheze 3 4 3. Sio 3 5 2 ya jana. Kidogo mkifanya hivo mtatupa tabu lkn pia Zidane hawezi kucheza na viungo wawili tu hapo kati maana Toni na Modric ni viungo wazuri sn lkn ni Wazee hawawezi kukimbia sn hawana kasi kabisa na ndio sbbu wao ni mafundi wa kutoa pasi tu.
Casamiro yeye ni fundi wa kukaba tu.... Lkn sio kuchezesha timu. Sasa Kz kwenu. Mcheze 4 3 3 au mbadilike.