Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Unaangalia mpira ama upo livescore unaangalia matokeo?
Mmekamat
Mmekamat
Marcelo na Carvajal watoke,waingie Asensio na Hazard au IscoTunaenda kipindi cha pili umakini unahitaji Mkubwa sana, ningependa Zidane afanye mabdiliko turudi kwenye 4 3 3, huu mfumo wa sasa unawaletea shida vijana weu
Usiwe unahuzunika na matokeo Mkuu, huu ni mpira wa miguu boss chochote kinaweza kutokea., vijana wamejitahidi sana kucheza kwa malengo, hatuna team bora so walichofanya ni sahihi ni kuzuia tusifungwe huku tunaweka mipango yetu sawa, Hawa wanaweza kuona ni big deal kutoa draw kwetu wakati sie tuna timing zetu.Nimeamka kuchungulia matokeo. Sijafurahishwa kabisa na haya matokeo. Afadhali sijaenda kibanda umiza, ningepoteza muda wangu bure
Kiukweli mfumo haukuwa rafiki kwa team japokuwa ulitusaidia kuwa hold, ila tulipocheza 4 3 3 team ilianza kucheza vizuri, kwasababu Luka na koMarcelo na Carvajal watoke,waingie Asensio na Hazard au Isco
Nyie hamna team
Mmeshinda njaaTunashinda wanangu...
Hahaahah angalia huyu takatakaUsiwe unahuzunika na matokeo Mkuu, huu ni mpira wa miguu boss chochote kinaweza kutokea., vijana wamejitahidi sana kucheza kwa malengo, hatuna team bora so walichofanya ni sahihi ni kuzuia tusifungwe huku tunaweka mipango yetu sawa, Hawa wanaweza kuona ni big deal kutoa draw kwetu wakati sie tuna timing zetu.
Labda mambo yabadilike ila second leg watakutana na team ya tofauti kabisa. #HalaMadrid




Sio kwamba Marcelo alikuwa hafanyi. Alifanya sn lkn aliacha gape nyuma Kante akawa anapita na kuwasababishia kosa kosa golini kwenu.La
Kante anaonekana kucheza vema kati kati ya uwanja, ni kwasababu sie hatupitii kati kati, ukiangalia hapo kati yupo Casemiro peke yake Toni na Luka wapo kwenye wings wakisaidia na wings back wetu huku Benzema na Vinincius wakitakiwa kuwa kati kati ndio maana unaona mfumo haupo Sawa., nafasi ya Vinincius anatakiwa awepo Marcelo ili apeleke mipira kitu ambacho hafanyi na mwezie Dani, so hapo ndio tulipokwama mpaka sasa.
Mkicheza 4+3+3 ndio mtafungwa kirahisi sn ni bora ata mlivyocheza 3+5+2. Sema Vini Jr ndio alie kuwa anawaangusha kuja kuchukua mipira kw viungo na kuipeleka mbele. Benzima ndio alikua anashuka kupokea mipira.Kiukweli mfumo haukuwa rafiki kwa team japokuwa ulitusaidia kuwa hold, ila tulipocheza 4 3 3 team ilianza kucheza vizuri, kwasababu Luka na ko
Kroos walirudi kati kati., ninajua Zidane alipanga vile kutokana na wachezaji waliopo, ila second leg Mendy na Valverde wakiwa fit itatusaidia sana kwasababu anaweza kupiga 4 4 2 mfumo ambao utatusaidia kutengeneza mipango na kushambulia kutokea kati kati.
Hapana Mkuu, formation ya 4 3 3 ndio vijana wetu wameizoea, kwenye hii formation kila mmoja anawajibika ipasavyo, kama uliangalia game vizuri kipindi cha pili tulitumia huo mfumo na team ilicheza vema, game ya marudiano Zidane atatumia huo mfumo na kama Valverde atakuwa amerejea kikosi I basi tutatumia 4 4 2.Mkicheza 4+3+3 ndio mtafungwa kirahisi sn ni bora ata mlivyocheza 3+5+2. Sema Vini Jr ndio alie kuwa anawaangusha kuja kuchukua mipira kw viungo na kuipeleka mbele. Benzima ndio alikua anashuka kupokea mipira.
Atalanta anacheza formation gani?Mkicheza 4+3+3 ndio mtafungwa kirahisi sn ni bora ata mlivyocheza 3+5+2. Sema Vini Jr ndio alie kuwa anawaangusha kuja kuchukua mipira kw viungo na kuipeleka mbele. Benzima ndio alikua anashuka kupokea mipira.
Marcelo jana ndio alikuwa weak point ndani ya team pamoja na mwenzie Dani(huyu ni Sawa kuwa vile kwasababu ametoka majeruhi plus huu mfumo ni mgeni kwake). Marcelo jana alikuwa hakabi wala hasha bulimia, muda mwingi alikuwa anaacha gap hii ilisababisha badala ya Kroos kupanga mipango akawa anafanya kazi tena ya kuziba nafasi ya Marcelo maana Nacho alizidiwa., second leg kama Mendy akirejea na Valverde kikosini tutakuwa na team ya ushindani.Sio kwamba Marcelo alikuwa hafanyi. Alifanya sn lkn aliacha gape nyuma Kante akawa anapita na kuwasababishia kosa kosa golini kwenu.
Kw kifupi tu ni kwamba Thomas Tuchel alimzidi mbinu Zidane na ndio sbbu kipindi cha pili Zidane alitulia na kua na nidhamu na timu yake wakawa hakurupuki tena wakawa solid na kua tactically sn
Exactly Mkuu, kilichofanya jana Zidane akapanga kikosi kile ni kutokana na kukosa wachezaji wa ku fit kwenye formation yetu ya 4 3 3 ama 4 4 2, na hili ni kutokana na kumkosa Mendy na Valverde., Marcelo kiukweli sio yule wa zamani, zamani zimempita, huwezi kumtegemea kama beki, hebu fikiria jana licha ya kuwekewa mtu wa kumsaidia bado ule upande tulizidiwa sana, na Chelsea kule waliona ndio kwenye mapungufu ndio maana walipendelea sana kupitia ule upande, Sasa ukiwa na Mendy pale unajua una beki, so hapo Beki wa kati watafanya majukum yao poa kati Casemiro na wenzake watakuwa na kazi tu ya kudeal na viungo wenzio, hapo ndipo Ufanisi wa team utauona.Atalanta anacheza formation gani?
Madrid amempiga Atalanta kwa formation gani?
Naamini Madrid jana angeshinda kama angecheza formation yake ya siku zote.
Benzema kushuka kufuata mipira ni kawaida na formation ya kila siku inafanya wingers wawe free.
Next game kama kuna watu watakua sawa (Mendy) inawezekana ikachezwa 4 3 3
Nakwambia kabisa mkuu mkicheza 4 3 3 mnatakuwa na hatari ya kufungwa kirahisi kwsbbu hao wachezaji wenu wa huko mbele yaani Vini Jr na Asensio na Benzima ni wavivu kukaba kwahiyo timu muda wote itakua na wachezaji saba tu.Hapana Mkuu, formation ya 4 3 3 ndio vijana wetu wameizoea, kwenye hii formation kila mmoja anawajibika ipasavyo, kama uliangalia game vizuri kipindi cha pili tulitumia huo mfumo na team ilicheza vema, game ya marudiano Zidane atatumia huo mfumo na kama Valverde atakuwa amerejea kikosi I basi tutatumia 4 4 2.
Yaani kuwadhibiti viungo wa Chelsea ni kz kubwa. Na mtakuja kuona hiyo jumatano ata km mkawapiga man to man. Pulisic na Mount wanashuka chini kuchukua mipira na hapo tayari viungo wenu wanakua wanavurugwa. Na mabeki wenu wa kati wakisema na wao wawafate hawa waliposhuka kuchukua mipira Wingbacks nao wanakuwa wamepanda mbele wanatishia nao wao. Yaani kz mnayo sn. Game yenu na Liverpool ilikuwa rahisi sn lkn hii Chelsea inaonekana kuwa ngumu sn kwenuExactly Mkuu, kilichofanya jana Zidane akapanga kikosi kile ni kutokana na kukosa wachezaji wa ku fit kwenye formation yetu ya 4 3 3 ama 4 4 2, na hili ni kutokana na kumkosa Mendy na Valverde., Marcelo kiukweli sio yule wa zamani, zamani zimempita, huwezi kumtegemea kama beki, hebu fikiria jana licha ya kuwekewa mtu wa kumsaidia bado ule upande tulizidiwa sana, na Chelsea kule waliona ndio kwenye mapungufu ndio maana walipendelea sana kupitia ule upande, Sasa ukiwa na Mendy pale unajua una beki, so hapo Beki wa kati watafanya majukum yao poa kati Casemiro na wenzake watakuwa na kazi tu ya kudeal na viungo wenzio, hapo ndipo Ufanisi wa team utauona.
Wengi Bado wanadhani hii ni Chelsea ya Lampard.Usiwe unahuzunika na matokeo Mkuu, huu ni mpira wa miguu boss chochote kinaweza kutokea., vijana wamejitahidi sana kucheza kwa malengo, hatuna team bora so walichofanya ni sahihi ni kuzuia tusifungwe huku tunaweka mipango yetu sawa, Hawa wanaweza kuona ni big deal kutoa draw kwetu wakati sie tuna timing zetu.
Labda mambo yabadilike ila second leg watakutana na team ya tofauti kabisa. #HalaMadrid