Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
7 kg ameongezeka hayupo serious kbs
Dah hahahaaaaaaaaaa
Come up again bro, u're not seriousKiungo chenu ni tatizo
Casemiro naaminigi ni ana jina kubwa kuliko uwezo wake, Modric inafaa atokee benchi
Midfield ingekuwa Kroos, Valverde na Ceballos tatizo mmeuza watu wazuri kama Llorente na Ceballos
Casemiro jina kubwa kuliko uwezo wake. Hivi Casemiro utamlinganisha na nani kiungo wa nafasi yake pale Atletico?Come up again bro, u're not serious
Anachomfanyia bale sio sawaZidane atakuwa na msimu mgumu sana asiposhtuka. Wachezaji wana tabia ya kupeana support kimyakimya hasa wanapoona mwenzao anakuwa mistreated (rejea mambo anayomfanyia Bale). Zidane needs to grow up na aachane na bifu za kitoto otherwise watamsusia team na vipigo vikiendelea tu, safari itamuhusu.
Inaumiza Sana Kila siku timu inaflop,tushukuru haya yanatokea pre-seasonYeye mwenyewe anajilaumu hapo alipo,kikosi kizima kimevurugika
Unashosema Ni chakweli ila mbadala amepatikana??hata kama idadi ya mabao aliyokua Ana offer si kivile Ni sahihi kua nae kuliko hao ambao tuliamini wata come up ,hawez kusema ila Ni kosa mbape angekua tayar yupo ilo Ni Jambo jingine ila hata sasa huko aliko jamaa Ana perform tu.Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)
Walifanya sahihi ili ifanyike succession ya damu mpya
Mbappe ni mtu sahihi kurithi mikoba CR7 na ndio maana Real Madrid bado haijanunua mchezaji wa bei ghali Right-wing
Bale kayataka mwenyewe, kikubwa anatakiwa kumlaumu agent wake kwa kushupaza shingo, hata kama kocha angebaki Santiago Solari bado angemfungulia Bale mlango wa kuondoka, Zidane alimweleza mwishoni mwa msimu uliopita kuwa hayupo kwenye mipango yake msimu huu, ila yeye akagoma kuondoka kisa mshahara, bado ana muda anaweza kupata team ya kuichezea msimu huu .Anachomfanyia bale sio sawa
aje yangaBale kayataka mwenyewe, kikubwa anatakiwa kumlaumu agent wake kwa kushupaza shingo, hata kama kocha angebaki Santiago Solari bado angemfungulia Bale mlango wa kuondoka, Zidane alimweleza mwishoni mwa msimu uliopita kuwa hayupo kwenye mipango yake msimu huu, ila yeye akagoma kuondoka kisa mshahara, bado ana muda anaweza kupata team ya kuichezea msimu huu .
Mbadala ni Mbappe sasa tatizo linalokuja Mbappe yupo Club ya aina gani?Unashosema Ni chakweli ila mbadala amepatikana??hata kama idadi ya mabao aliyokua Ana offer si kivile Ni sahihi kua nae kuliko hao ambao tuliamini wata come up ,hawez kusema ila Ni kosa mbape angekua tayar yupo ilo Ni Jambo jingine ila hata sasa huko aliko jamaa Ana perform tu.