United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
apo kaaza kulalamika kwanin kati ya maneno ya English na kiswahili hayafanani yani anataka aanze kufanyiwa word to word translation kana kwamba kweny hili jukwaa kuna mwalimu wake wa ukalimani na LughaPoleni sana Wakuu., mna kazi kubwa ya kuelemisha na kufundisha, sio kazi ndogo,