Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Masamila07

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,951
2,000
Yan ungeniambia Toni Kroos ndio kaisha ningekuelewa. Halfu Casemiro unasema jina kubwa hamna kitu? Sina hakika kama unawafuatilia Madrid.. Llorente chipukizi unataka kufananisha na Middle gan pale Madrid?

Am telling you. Come up again bro!!
Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?

Ingawa Casemiro sio mbuzi wa kafara kwa hali iliyopo Real Madrid sasa hivi

Pale Atletico kuna Saul Niguez, Koke hawa wote wakicheza position anayocheza Casemiro wanamfunika

Hata Partey mwenyewe anapiga mpira mkubwa kuliko Casemiro

Holding Midfield sio kukaba tu

NB: sijamaanisha Casemiro sio mchezaji mzuri ; Casemiro ana hadhi ya kuchezea Club kubwa
 
  • Thanks
Reactions: Dae

Cesar Caspar

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,544
2,000
Mpira wa sasa, bila tight defence Zidane anatutafuta lawama. Pre-season yes, lakini ni vipi timu kama hii inatufunga mara 3?
Kwa hali ilivyo kwasasa vijana wanatakiwa kukaza kweli kweli, mabeki wetu wanafanya makosa mengi sana, team kwa upande wa ushambulizi haijakaa Sawa kwahiyo lile suala la hamna shida tutarudisha hakuna sasa hiv, Kilichopo ni kujilinda haswa .
 
Southern Highland

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
6,906
2,000
Rodri alieenda Man City middle field mwenye tackles 3 per game fundi wa chenga za mwili utamlinganisha na Casemiro?

Ingawa Casemiro sio mbuzi wa kafara kwa hali iliyopo Real Madrid sasa hivi

Pale Atletico kuna Saul Niguez, Koke hawa wote wakicheza position anayocheza Casemiro wanamfunika

Hata Partey mwenyewe anapiga mpira mkubwa kuliko Casemiro

Holding Midfield sio kukaba tu

NB: sijamaanisha Casemiro sio mchezaji mzuri ; Casemiro ana hadhi ya kuchezea Club kubwa
Uwanjani kuna roles tofauti mkuu. Kazi anayofanya Casemiro pale Atletico hakuna anayefanya. Casemiro ni defensive midfield hao uliowataja ni central midfield ambao mtu kama Saul Niguez kidogo anaweza kalinganishwa na Modric. Sasa umenichekesha zaidi ulipomuweka mpka Partey ambaye sijui nimfananishe na kiungo gani Real. Japo hawanatofauti sana ila kimajumu ila position ya Casemiro usiichulie poa.

Roles za Casemiro naweza kufananisha na Kante hawa wanacheza chini karibu na mabeki kazi kubwa kupokonya mipira na kuwasambazia central midfield. Unawezaje kumfunika mchezaji kwenye position ambayo keshaprove anaweza kitambo.
 
Casemiro sio mbunifu
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
687
1,000
AUDI CUP
Fenerbance 3-5 Real Madrid
Benzema kafunga goli 3 huku eden hazard akiondoka bila ya kuscore goli.
tapatalk_1564516537143.jpeg
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
172,357
2,000
Salzburg XI: Ulmer, Stankovic, Ramalho, Minamino, Onguéné, Samassekou, Bernede, Kristensen, Koita, Håland, Szoboszlai

Subs: Junuzovic, Farkas, Carlos, Vallci, Okugawa, Hwang Hee-Chan, Daka, G. Mensah, M. Ashimeru, Köhn, Camara, Van der Werff, Diarra

Real Madrid XI: Courtois, Carvajal, Militão, Ramos, Varane, Kroos, Benzema, Marcelo, Casemiro, Isco, Hazard

Subs: Navas, Nacho, L. Vázquez, Jović, Odriozola, Valverde, Lunin, Vinícius Júnior, Adrián De la Fuente
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,264
2,000
Strong reports saying we're either getting Pogba or Neymar. 2 players I'm not a fan of, mainly due to their antics on and off the pitch. I never wanted Cristiano Ronaldo to come to Real Madrid but he joined, so there's my jinx. Brace yourselves, Madridistas.
 
Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
172,357
2,000
Real Madrid have given star signing Eden Hazard the No.7 shirt, with the Belgian set to follow in the footsteps of the likes of Raul Gonzalez and Cristiano Ronaldo by donning the number.

That shirt had belonged to Mariano Diaz, who is still at the club, but he will now wear the No.24, despite rumours linking him with a move to Monaco.

Elsewhere, it was interesting to see that James Rodriguez has been awarded the No.16 shirt, having worn the No.10 before going on loan to Bayern Munich.
 
HAKUNAMATATA

JF-Expert Member
Jun 29, 2017
819
1,000
Hujui mpira
Upo sawa kabsaa lakini nakumbuka misimu 3 tuliyobeba Uefa Casemiro alikua ana mchango mkubwa sana kwa timu, na kama unakumbuka vizuri Zidane alikua akifanya rotation kwa wachezaji lakini rotation hiyo ilikua haimuhusu Casemiro, alikua akicheza karibu kila mechi kwa kiwango cha juu kabsaa….

Nakumbuka mechi yetu ya round ya 16 tulicheza na PSG aliupiga mwingi sana, robo tulicheza na B.M alicheza sana na hasa mechi ya nyumbani tuliyozidiwa ubora…

Mechi ya Uefafa tuliyocheza na Juve aliupiga mwingi mno ikiwemo goli la pili la mechi ya fainali

Casemiro ni fundi sana, naamini mechi mfululizo zimemuchosha lakini baada ya muda atakua fit sana hasa ukizingatia sio mtu wa bata sana na ndio kwanza kafikisha 27
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,264
2,000
Barcelona desperately want Neymar, but can't afford him. And PSG don't want to deal with them anyway.

PSG desperately want to get rid of Neymar, but only Real Madrid can afford him.

Real Madrid want Neymar, but only if the deal makes sense on their side. That means PSG take Bale, James or another player off Madrid's books and accept not more than 150 euros.

Long story short, **** Zidane.
 
Ngoja tuone hii drama itaishia wapi, kuna sehemu nimeona kuwa PSG wanataka kumtoa kwa mkopo kisha msimu ujao ndio tumnunue rasmi, ila bado ni tetesi tu sababu hata Club haijawasiliana na PSG.
Ila kuna kitu ninajiuliza, Je Zidane anahitaji service yake! ? ama Don Perez anataka kukamilisha ndoto zake' ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom