Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yeye mwenyewe anajilaumu hapo alipo,kikosi kizima kimevurugika
Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)

Walifanya sahihi ili ifanyike succession ya damu mpya

Mbappe ni mtu sahihi kurithi mikoba CR7 na ndio maana Real Madrid bado haijanunua mchezaji wa bei ghali Right-wing
 
Mkuu hio succession mpya hadi wa leo haijatokea,jamaa anajuta kwa maamuzi ya kukurupuka,bisha usibishe wa kuondoka alikua bale au benzema sio CR7 bila kumpata mtu sahihi kwanza.

Hivi vingine visingizio tu.
Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)

Walifanya sahihi ili ifanyike succession ya damu mpya

Mbappe ni mtu sahihi kurithi mikoba CR7 na ndio maana Real Madrid bado haijanunua mchezaji wa bei ghali Right-wing
 
IMG-20190730-WA0014.jpg
 
Zidane atakuwa na msimu mgumu sana asiposhtuka. Wachezaji wana tabia ya kupeana support kimyakimya hasa wanapoona mwenzao anakuwa mistreated (rejea mambo anayomfanyia Bale). Zidane needs to grow up na aachane na bifu za kitoto otherwise watamsusia team na vipigo vikiendelea tu, safari itamuhusu.
 
Madrid spent €150m signing 19 year olds Kubo, Vinicius, Rodrygo, knowing that, they will require atleast 3-4 years to mature & develop into a world class player, are Madrid ready to give them playing time & suffer defeat, if not then without playing how will they mature ? What a pointless & thoughtless investment. Madrid are suffering because of Perez & his decision making.
 
Zidane atakuwa na msimu mgumu sana asiposhtuka. Wachezaji wana tabia ya kupeana support kimyakimya hasa wanapoona mwenzao anakuwa mistreated (rejea mambo anayomfanyia Bale). Zidane needs to grow up na aachane na bifu za kitoto otherwise watamsusia team na vipigo vikiendelea tu, safari itamuhusu.
Anachomfanyia bale sio sawa
 
Sidhani kama anajuta jamani. Umri wa Cristiano umeenda na pia kiwango kimeshuka ili kuthibitisha hilo fuatilieni misimu miwili ya mwisho pale Real Madrid magoli kama sio yote alikuwa anafungia wapi tofauti na akiwa na umri mzuri kimpira(miaka 23 mpaka miaka 29)

Walifanya sahihi ili ifanyike succession ya damu mpya

Mbappe ni mtu sahihi kurithi mikoba CR7 na ndio maana Real Madrid bado haijanunua mchezaji wa bei ghali Right-wing
Unashosema Ni chakweli ila mbadala amepatikana??hata kama idadi ya mabao aliyokua Ana offer si kivile Ni sahihi kua nae kuliko hao ambao tuliamini wata come up ,hawez kusema ila Ni kosa mbape angekua tayar yupo ilo Ni Jambo jingine ila hata sasa huko aliko jamaa Ana perform tu.
 
Anachomfanyia bale sio sawa
Bale kayataka mwenyewe, kikubwa anatakiwa kumlaumu agent wake kwa kushupaza shingo, hata kama kocha angebaki Santiago Solari bado angemfungulia Bale mlango wa kuondoka, Zidane alimweleza mwishoni mwa msimu uliopita kuwa hayupo kwenye mipango yake msimu huu, ila yeye akagoma kuondoka kisa mshahara, bado ana muda anaweza kupata team ya kuichezea msimu huu .
 
aje yanga
 
Unashosema Ni chakweli ila mbadala amepatikana??hata kama idadi ya mabao aliyokua Ana offer si kivile Ni sahihi kua nae kuliko hao ambao tuliamini wata come up ,hawez kusema ila Ni kosa mbape angekua tayar yupo ilo Ni Jambo jingine ila hata sasa huko aliko jamaa Ana perform tu.
Mbadala ni Mbappe sasa tatizo linalokuja Mbappe yupo Club ya aina gani?

PSG hawana njaa wale , Club zenye njaa ambazo zingekuwa tayari kumuuza Lyon,Marseille,Lille,Monaco etc

PSG utawatoa udenda kumchukua Mbappe kwa dau gani? Hata Billion euros hawawezi kukupa Mbappe labda Mbappe awe anataka kuondoka

Mwingine Galactico anaeweza replace CR7 ni Neymar nae yupo huko huko Club aliko Mbappe full changamoto yaani
 
Back
Top Bottom