Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

What's good for Zenedine Zidane! Selling Marco Llorente for cheap price and sending Reguilon away while Nacho is still here.
Bad thing is madrid they selling and loans good players while stayin with flops

haingii akilin unamuuza m.Llorente ambae ndo backup ya casemiro then unambakiza nacho ambae hta sevilla hana nafasi

Im feel sorry for Zidane, bora asingerudi anaenda kuaribu Cv yake..Na hiz personalities zake ndo ztamharibia kabsa, hawatak bale na james lakin anawakumbatia benzema na vasques
 
Karibuni mutajua kuwa Zidane alikuta Kitonga cha Ronaldo na kina Marcelo and co wakiwa kwenye peak zao lakini Hanna kitu

IMG_20190727_130431.jpg
 
Bad thing is madrid they selling and loans good players while stayin with flops

haingii akilin unamuuza m.Llorente ambae ndo backup ya casemiro then unambakiza nacho ambae hta sevilla hana nafasi

Im feel sorry for Zidane, bora asingerudi anaenda kuaribu Cv yake..Na hiz personalities zake ndo ztamharibia kabsa, hawatak bale na james lakin anawakumbatia benzema na vasques
Naunga mkono hoja...unajua binafsi bado ninasema Nacho ni mchezaji ambaye hana hadhi yakucheza madrid...ni mchezaji wa kawaida sanaa....hili nimeshasema sana...

Pili...bado hatujasolve matatizo yetu sugu...beki za kati hatuna na bado tunaendekeza benzema ambaye ili afunge goli moja anahitaji nafasi 10 za wazi...hapo hatutatoboa...na hata sijui msimu huu utakuwaje...unakuwa na beki wazito balaa..afu unakuwa na namba tisa butu...
 
Hahaha wazee wa kula saba. Worst Madrid team I have ever seen ndo hii. Na msimu huu mtapigwa hadi mchakae. Kiburi ya kocha inawacost Yale ma uefa matatu yanampa kiburi anasahau nilikua jitihada za CR7 and co. Hiiiii mmekula saba najua mtasingizia ni pre season ila how do you let your city rival score 7 goals hata ingekua mchangani. Msimu huu mkijitahidi sana nafasi ya sita this is going to be the worst season ever for Madrid.
Anyway nilikua napita kuwasalimia. Ila mngemfukuza zidane kabla maji hayajakorogeka mumchukue ZAHERA pale jangawani
 
Hivi banzema wanamng'ang'ania wa nini jamani

Back
Top Bottom