Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Don Florentino Perez bado tunae kwahiyo tuangalie world cup kwanza huku tukisubiri project ya Mourinho. Sijui kama kikosi kitabadilika lakini labda mpotugizi atabadilisha style ya uchezaji
Mimi kwetu kilichopotea ni ile hari yakupambana na timu ikawa haina kiongozi ambaye ataleta ile hali yakuheshimiana...huyu jamaa anajua kujenga hiyo nakuondoa viburi..utakumbuka hata wakat anakuja msimu ulee tulikuwa na mastar wengi ila hatukuwa na timu ya ushindani na kila mtu alijiona ni mtawala kama ukoo wa kambale...sasa ngoja kwanza atujengee timu kisha baadae tuangalie mambo mengine.
 
Na alichokusudia Perez ndio hicho, kujenga team ya ushindani na yenye hari ya ushindi, si ile kila mmoja anacheza anavyotaka, uzuri wa Mourinho yeye huwa haangalii majina ya wachezaji, ila performance.
 
Hivi wakuu madrid ni kweli haina uhitaji wa kiungo mkambaji kiasi icho , kwasababu TCHOUAMENI bila unafki kwangu bado aisee.

Nimesikia Mourinho anakuja na Pepe kama msaidizi wake. Ndio, Pepe yuleyule aliyekuwa na Sergio Ramos. Kwahiyo hapo ushajua style gani inatakiwa ichezwe. Defenders ndio wanatakiwa wanolewe mambo mengine baadae
 
Sijasikia fununu kama anahitaji mtu wa idara ya ushambuliaji, yeye ameenda moja kwa moja kwa walinzi, tayari tuna wawili, nimeona tetesi kuwa anamtaka Califiori, pia na kiungo dogo mmoja kutoka Ureno, anakipiga West Ham, pia Nico Paz anarejea, acha tusubiri tuone namna atakavyo tengeneza team yake
 
Ulinzi ndio tatizo la Real Madrid kwa hivi sasa. We unaona mpaka Fede anakuja kudefend. Philosophy ya Mourinho ni ulinzi kisha anasema just play a ball. Hakuna manager aliyevunja record yake kwa points nyingi per season pale Real Madrid. Yule mzee wa zengwe na anajua kucheza na saikolojia ya mpira.
 
Yeye ndio anapambania hiyo ishu yake ya Ulinzi, ninaona tetesi za kijana mmoja kutoka West ham, vp huyo anatufaa, maana kiukweli mie sio muangaliaji wa game za England,
 
Perez kapita ila nahisi Kuna namna alikua anacheza na akili zetu.

Toka mwanzo mi nilikua nimemstukia yule mpinzani wake isijekua alikua ni kijana wake kamtuma kazi, maana SI kwa ahadi zile za mchongo.

Pia hata ahadi ya yeye Perez kuleta jina kubwa isijekua alitengeneza hili zengwe la kumtaka Alvarez na AthletiCo kukataa ili tuone kweli alipambana!!!

Maana Mimi sidhani kama Kuna mtu ana uthubu wa kusema nitamleta Fulani bila kua na uhakika.

Ndomana hata yeye alipotoa ahadi yake hakutaka jina la mtu ila ni watu tu walikua wakihisia.
 
Yajayo......
 
Attachments

  • IMG-20260611-WA0041.jpg
    IMG-20260611-WA0041.jpg
    243.6 KB · Views: 13
Perez kapita ila nahisi Kuna namna alikua anacheza na akili zetu.

Toka mwanzo mi nilikua nimemstukia yule mpinzani wake isijekua alikua ni kijana wake kamtuma kazi, maana SI kwa ahadi zile za mchongo.

Pia hata ahadi ya yeye Perez kuleta jina kubwa isijekua alitengeneza hili zengwe la kumtaka Alvarez na AthletiCo kukataa ili tuone kweli alipambana!!!

Maana Mimi sidhani kama Kuna mtu ana uthubu wa kusema nitamleta Fulani bila kua na uhakika.

Ndomana hata yeye alipotoa ahadi yake hakutaka jina la mtu ila ni watu tu walikua wakihisia.
Siasa mkuu, huyu mzee anaijua siasa ya mpira.

Ameenda Atletico kujifanya anamtaka Alvarez lakini lengo lako ni kuongeza thamani ambayo Barca hawataweza mudu kumchukua.
 
Perez anazeeka na umafia wake, kwa akili ya kawaida Atletico wasingeweza kufanya kutuuzia Alvarez , sema aliamua tu kuwatingisha, ama alitaka asionekane kama ametoa ahadi hewa.
 
Kwenye hizi timu kubwa usipokua mafia hutoboi. Hapa katikati alileta ubahili sana natumai kwa maboresho yanayofanyika msimu ujao tutakua bora sana.
 
Hii ya Cucurella mbona imekuja faster sana, maana hata tetesi hazikuwepo, n Chelsea wameuza chap, tumeuziwa kimeo nini!? Ni kisiki kweli huyu jamaa, maana ninaona ni mlaini kama Alvaro tu.
 
Back
Top Bottom