Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,195
- 132,328
Bora makosa yafanyike eneo la ushambuliaji unaweza usishinde mechi lakini ukiwa na defense nzuri maana yake huwezi kufungwa kizembe.Kuna muda inabidi uangalie ili ujue team yako jinsi ilivyo man, tucheck tu game Jomba.
Kuna makosa mengi yanafanyika ya wachezaji wenyewe kukosa mawasiliano na kujikuta mipira wanaishia kupasia wapinzani tena makosa haya yanafanyika kwenye half yetu.