Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Huyo lous Figo anaemsifia Sasa Kwenye world cup ana goli ngapi? Hao kina zidane wote hawakafika idadi ya goli alizofunga Kwa mkupuo mmoja Kwenye world cup.Ila mimi hua nashangaa sana nyie mnaosema mchezaji fulani siyo wa kucheza Real Madrid. Hao wachezaji wenye hadhi ya kucheza Real Madrid wako wapi? Nitajie walau watano tu.
Embu nitajie ni kiungo gani mwenye goli nyingi kwenye haya mashindano yanayoendelea kuzidi Jude.
Tusiishi kwa kukariri Jude ni aina ya viungo ambao wanapenda kucheza ndani ya box wanapopata open space.
NB: Hakikisha unanitajia wachezaji watano tu wenye hadhi ya kucheza Real Madrid.
Sasa na sisi tukariri kama yeye tumsifie Jude kua ni mnoma kuliko wale wote?
Ndomana nawaambia watu mpira umebadilka na sisi lazima tubadilishe mitazamo yetu hasa Kwenye kulinganisha Wachezaji wa Sasa na WA zamani.