Jana tumemaliza ligi kwa ushindi wa 4-2 dhidi ya bilbao.
Bwana mdogo pitach akiwa Kenya kiwanis kizuri alitoa Assist mbili.
Wakati naangalia hii game na vile tunacheza kuna kite niliwaza.
Eneo la mbelee tunahitaji marekebisho kidogo tu, inategemeana na style ya kocha anaekuja.
Kwanini jude asicheze pale juu kama false 9, kushoto Vinicius au mbappe na huku kulia acheze winga anaetumia mguu wa kushoto vyema na mwenyekesi sawa na Vinicius au mbappe.
Hspo kstikati ndio panahitaji marekebisho makubwa, ikiwemo Nico Pazi kurudi.