PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,866
- 23,473
Ni beki mzuri ukilinganisha na waliopo sasa kwenye hiyo nafasi yake.
Watu wenye doubt na Cucurella hawaangalii la liga. Alikuwa Getafe pale na vitu alivyokuwa anafanya akiwa na mid-table team kama ile, naamini na yeye anastahili kuja kusheherekea champions league the Santiago Bernabéu