Leo ni leo...ni kama fainal,je mourinho atakubali kufungwa mara mbili mfululizo?na je tutakubali tuondoke kwa aibu msimu huu?nusu saa imebaki kuona timbwili hili... hala madrid.
VamooooosReal!!Leo ni leo...ni kama fainal,je mourinho atakubali kufungwa mara mbili mfululizo?na je tutakubali tuondoke kwa aibu msimu huu?nusu saa imebaki kuona timbwili hili... hala madrid.
VamooooosReal!!
Hasta el final
Acha tuone, maana nimesaka taarifa bila mafanikio, siku chache zijazo tutazipata tu
Kulikoni leo anacheza Mkuu!!
Mi mwenyewe sijajuaKulikoni leo anacheza Mkuu!!
Sanaaa....yaan kwenye ulinzi aises kuna kazi kubwa sana yakufanya.Kwenye suala la Ulinzi tupo weak sana kiukweli, yaani watu wanakaba kwa macho.
Goal ruled outChumaaaa