Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,162
- 123,273
Kwasababu alicheza mbele ya mashabiki wa BenficaIle cheza ile ilimletea shida kule Ureno!!
Kwasababu alicheza mbele ya mashabiki wa BenficaIle cheza ile ilimletea shida kule Ureno!!
Bao tamu kabisa hili
View attachment 3548887
Ulicho wish kinapatikana kwenye aggregate ila kwa vice versaLeo mnakaa.
Full time: Madrid 1: 3 Benfica
Mjiandae mancity atawaua kenge nyie lazima mtolewe.
Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie.
Hicho kitakataka ndo mumtishie city? 🤣 🤣 🤣Don't forget Rodrygo is still in the squad 🤣
Hicho kitakataka ndo mumtishie city? 🤣 🤣 🤣