Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,489
Huyu Asencio kiukweli awe anapasha moto bench tu,shida inakuja kuwa huyo ndie wa afadhali tuliye nae.Sanaaa....yaan kwenye ulinzi aises kuna kazi kubwa sana yakufanya.
Huyu Asencio kiukweli awe anapasha moto bench tu,shida inakuja kuwa huyo ndie wa afadhali tuliye nae.Sanaaa....yaan kwenye ulinzi aises kuna kazi kubwa sana yakufanya.
Leo mnakaa.Tuombe tu mechi iishe hata kwa sare ila flow ya timu kiukweli hairidhishi kabisa
Sawa BossLeo mnakaa.
Full time: Madrid 1: 3 Benfica
Ile cheza ile ilimletea shida kule Ureno!!Muite Vinicious
Kwasababu alicheza mbele ya mashabiki wa BenficaIle cheza ile ilimletea shida kule Ureno!!