Leo hawa tunao manKwa defence Mourinho yuko vizuri lakini leo hawa wetu
Kuna ka ugomvi ka Vini hapa sijui hata shida ni nini!!
Team imecheza kwa nidhamu sana, licha ya purukushani za hapa na pale ila vijana wametulia na hatimaye wakafanya jambo, tukutane 2nd leg Bernabeu.
HalaMadrid!!
Game ijayo tunamkosa Vini
Anakuwa mchezaji wa 4 muhimu kukosekana.
Walidhani wangekutana na mteremko kama wa week kadhaa zilizopita!! Team imebadilika sanaHizi sio purukushani za hapa na pale, Benfica walikuwa mambwa on and off the pitch. Nilikuwa naangalia live hapa mpaka kwenye tunel walikuwa wanalazimisha kuingia changing room ya Real Madrid mpaka UEFA ikabidi waingilie kati
Ana kadi nyingi ama ni aje!? Ninadhani wale walijua ndio maana kama kajamaa kakaenda kumfanyia ule ujinga, lengo lilikuwa hilo, tunawawekea Brahim ama Gonzalo tunatembea nao hivyo hivyo!!Game ijayo tunamkosa Vini
Anakuwa mchezaji wa 4 muhimu kukosekana.
Ana kadi 2 za njanoAna kadi nyingi ama ni aje!? Ninadhani wale walijua ndio maana kama kajamaa kakaenda kumfanyia ule ujinga, lengo lilikuwa hilo, tunawawekea Brahim ama Gonzalo tunatembea nao hivyo hivyo!!
Kucheza na kwenyewe ni kudhihaki? Niliona alicheza tu kwenye kibendera kama kawaida yake, sikuona namna alidhihaki mtu pale.Endeleeni kumtetea huyu nguchiro wenu finishazi. Unafunga goli halafu unaenda kudhihaki wapinzani unategemea nini🤣 🤣 🤣
Mbona hii taarifa siioni mahala popote Boss? Hebu share hiyo link BossAna kadi 2 za njano