Yupo kwenye handaki kama Ayatollah vileNyumbu Carasco Putin kajikausha kama sio yeye aloliwa vitano na watoto wa simeone.
😂😂😂😂😂😂😂Bado mechi 34 tuwe mabingwa
Eti nini?Sijaona wa kutuzuia halla Madrid los blancos forever 🏳🏳🏳
Acha uongoMbappe akicheza na Bellingham hafurahii kabisa jamaa anakaba nafasi zake
Sure mzee uyu Bell akikaa namba 10 Mbappe anastrugle sana halishwi pasi nzuri kama anavyomfanyia GulerAcha uongo