Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Zile vile vi GIF vya magoli😃😃Hana noma huyo atakuja tu, yeye anajua nachokitaka 😂
Zile vile vi GIF vya magoli😃😃Hana noma huyo atakuja tu, yeye anajua nachokitaka 😂
Ewaaah! 😂Zile vile vi GIF vya magoli😃😃
Game ya jana walikuwa wanafanya counter attack hadi raha, sema bado kuna sehemu kuna tatizo likikaa sawa itakuwa unyama sana.Sijaona wa kutuzuia halla Madrid los blancos forever 🏳🏳🏳
7Hiv mbape ana goli ngapi mpaka sasa?
Hili goli lilinishitia aisee.Mastantuono nets his first for Blancos as Vini assists! Levante 0-2 Real Madrid
View attachment 3478562
Yameliwa tano kimasihara kabisa.