Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 973
- 1,778
Bado mechi 34 tuwe mabingwa
Duh!Bado mechi 34 tuwe mabingwa
Hii mechi jana nilisahau muda mpaka notification ya goli la kwanza inaingia ndiyo nakumbuka.
Burudani kabisa 😍
xabi alonso ana mpenda sana guler, yaani kiufupi ndio muller au ozil wa zama zileUyu Mbape kwa hizi pass nzuri za Guler kama wasipomfunga speed governor atafunga sana uyu jamaa anaenjoy sana akicheza na Guler tofauti na Bellingham
Kipimo chao kama wapo vizuri ni Barcelona, msimalize maneno
Huyu dogo anajua kupiga pasi za mwisho ila anahaitaji kuwa bora zaidi.Uyu Mbape kwa hizi pass nzuri za Guler kama wasipomfunga speed governor atafunga sana uyu jamaa anaenjoy sana akicheza na Guler tofauti na Bellingham
Alonso ameona kitu kwake ndiyomaana ameamua kumtumia, hii inaweza mfanya dogo awe mzuri zaidi kwa siku zijazo.xabi alonso ana mpenda sana guler, yaani kiufupi ndio muller au ozil wa zama zile
kuanzia robo fainali EUFANahao barcelona kipimo chao ninani au wao hawana kipimo?
Sure ni Ozil mpya pale Madridxabi alonso ana mpenda sana guler, yaani kiufupi ndio muller au ozil wa zama zile
Anza na Tamu za Numbi ndo atakuja😃😃
fala 😂😂Anza na Tamu za Numbi ndo atakuja😃😃
Hana noma huyo atakuja tu, yeye anajua nachokitaka 😂Anza na Tamu za Numbi ndo atakuja😃😃