bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,699
- 24,436
Ana ujinga mwingi sana, angekua Morinho leo ilikua mwisho kuchezaHuyu vin jr wamuuze tu dirisha ndogo la usajili ana madharau Na jeur
Ana ujinga mwingi sana, angekua Morinho leo ilikua mwisho kuchezaHuyu vin jr wamuuze tu dirisha ndogo la usajili ana madharau Na jeur
Kulikuwa hamna haja ya kubehave Vile.Ana ujinga mwingi sana, angekua Morinho leo ilikua mwisho kucheza
Pelez ndio kamlea huyu aliktakiwa aondoke mapema sana Madrid wamepita watu zaidi yake analeta ujinga hapa,Vini ni jeuri sana, sidhani kama atakuja kupata tuzo kwa tabia hizi
Hawezi kurudia Tena hicho kitendo wakati kasasua anaenda kwenye vyumba vya kubadalisha wakamuonesha Perez lugha yake tu ya mwili iliozungumza pale palePelez ndio kamlea huyu aliktakiwa aondoke mapema sana Madrid wamepita watu zaidi yake analeta ujinga hapa,
Vini so rahisi kuuzwa,Hawezi kurudia Tena hicho kitendo wakati kasasua anaenda kwenye vyumba vya kubadalisha wakamuonesha Perez lugha yake tu ya mwili iliozungumza pale pale
Tusubiri Jumanne tuone pale Anfield itakuwaje,At least naweza kuangalia mechi bila ugonjwa wa moyo leo. Valencia are playing our game and I love it