Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,631
- 6,494
Acha uongoMbappe akicheza na Bellingham hafurahii kabisa jamaa anakaba nafasi zake
Acha uongoMbappe akicheza na Bellingham hafurahii kabisa jamaa anakaba nafasi zake
Sure mzee uyu Bell akikaa namba 10 Mbappe anastrugle sana halishwi pasi nzuri kama anavyomfanyia GulerAcha uongo
Binafsi kwenye game hizi na mtani wakicheza Vin,Mbape na Bell tayar tushacheza pungufu na team inakuwa haijabalance...hapa leo ninahisi tunapigwa tena tukikaa vibaya ni 2 kupanda juu.Hii game ya leo tushinde Hawa watoto wametuletea dharau kubwa sana
Barceleno nayenyewe tia maji tia maji tuBinafsi kwenye game hizi na mtani wakicheza Vin,Mbape na Bell tayar tushacheza pungufu na team inakuwa haijabalance...hapa leo ninahisi tunapigwa tena tukikaa vibaya ni 2 kupanda juu.
Utu toto tuna dharau sana wacha vishikishwe adabuBarceleno nayenyewe tia maji tia maji tu
Leo ushindi ni lazima
Kile ki Lamine kina mdomo sanaUtu toto tuna dharau sana wacha vishikishwe adabu
Sana kwanza huwa nachukia sana mbappe kulinganishwa na hicho kitotoKile ki Lamine kina mdomo sana
Ni wajinga tu ndio utawaona wanakalinganisha na the next GOATSana kwanza huwa nachukia sana mbappe kulinganishwa na hicho kitoto