Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Azam Tv wajinga sana mechi zinascrash kama CD bovu
Labda kwakoAzam Tv wajinga sana mechi zinascrash kama CD bovu
Nmeona na wengine wanalalamika pia mtandaoniLa
Labda kwako
Sema naona kama Kwel maana Nilikua nachungulia chungulia maana nachek ottoman kwanzaNmeona na wengine wanalalamika pia mtandaoni
Chanel za mpira tu hasahasa mechi za nje mfan mchana ile ya al nassr pia na mechi nyingine za nje hata juzi barcaSema naona kama Kwel maana Nilikua nachungulia chungulia maana nachek ottoman kwanza
Sjajui tatzo n nn ngoja niulize AIChanel za mpira tu hasahasa mechi za nje mfan mchana ile ya al nassr pia na mechi nyingine za nje hata juzi barca
Mpo serious sana Hadi majina mnafahamuNashindwa kumuelewa Xabi alonso anafikiria nini kumuanzisha Brahim diaz na kumuacha Rodrigo nje
Uongozi tuu kijana walimtaka kumuuza ,Nashindwa kumuelewa Xabi alonso anafikiria nini kumuanzisha Brahim diaz na kumuacha Rodrigo nje
Dah nomaHii timu jana imeninyima millio 4🥹🥹 imeshindwa kabisa kupata goli 2💔 shame