Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mbappé scores his La Liga 31st goal this season! Real Madrid 2-0 Real Sociedad

1748104531160.gif
 
Ina maana Lucas Vazquez ndio bado yupo yupo sana ama ni aje aisee, mbona sielewi, anataka kubaki acheze nafasi ipi kwanza!? Ni vyema na yeye akaangalia upande wa Uarabuni akavune na yeye pesa za mwisho mwisho.
Ameagwa na yeye,sema labda hakuwekwa mbele sana kama kocha na Luca...ila nae ni baba jeni bye bye.
 
Official Announcement: Alberto Toril​

Real Madrid C. F. would like to announce that Alberto Toril has ended his spell as coach of the Real Madrid Women's team.
Real Madrid would like to thank Alberto Toril for his professionalism, commitment and work at the helm of our women's team over the last four seasons
 
Ya Raul niliisahau, ila jamaa ameondoka Castilla, kwangu nimeona ni jambo jema, maana akipata team za ligi kuu ataongeza maarifa zaidi, ninadhani alidhani kuwa angemrithi Ancelloti ila imekuwa tofauti., ninaamini atakuja kupata nafasi ya kuifua Real Madrid huko mbeleni.
 
Hata mimi hii taarifa nimeiona njema kwa mtazamo huo.
 
Nyie masolokoto kuanzia kesho mtatulipa pound laki tatu na nusu kila siku mpaka mkataba wa TAA uishe mlidhani mtampata bure 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenge nyie mukome
 
Back
Top Bottom