Wamezidiwa mbinu na Arsenal,Hakuna cha comeback,hakuna kukariri MaishaDuh!, aisee huyu vinicius hayupo serious kabisa. Half Time badala ya kwenda kumsikiliza kocha ye ndo kwanza yupo mitaani anacheza cheza na grealish na leah williamson kwenye tangazo la pepsi
Acheni kukariri Maisha,aliewaaminisha kuna comeback kila siku ni nani?Let me lower expectations hii game naona kama haina come back tena
#Hala Madrid
Mmekariri,hakuna ujanja ujanja,hizo enzi zimekwishaMadrid anapita na hutaamini
Miaka ya ujanja ujanjaLeo watu wanapunguzia maumivu humu ya miaka na miaka
Eddie Howe na Jurgen KloppUkiachana na babu Carlo kuna kitu cha ziada hawa kina Vini, Mbappe, Rodrygo, Jude wanaweza fanya na kocha mwingine na labda tuseme ni kocha gani anaweza kufaa Madrid hii yenye pancha nyingi
We naona unahasira na Madrid tafuta kazi ya kufanya
Lioneni hili kichaa lenu jukwaani limevaa jezi imeandhkwa Yes we can


