katika long ball ambapo wings ndo wanakuwa danger , saka anaweza kuzuiwa na watu wenye mbio , combination ya Garcia na ascensio ingefanya kazi na sio mzee alaba , sana sana atakuwa anamsindikiza tuu mpak kwenye box au kumfanyia faulo
weakness kubwa ya Garcia ni kwenye defense, Dogo mda mwingi sana anakuwa yupo out of position, ni hatari sana kwa mechi zenye winger zenye kasi. na pia accurate yake kwenye attack sio nzuri kabisa. ALaba bado ana uwezo wa kupiga cross zinazoeleweka.