Real Madrid (β€ŽLos Blancos) | Special Thread

Bell jana mapema tu kachoka,ila babu Carlo anamuacha anaendelea...yaan jana tumecheza mpira mbovu pengine kwa msimu huu niya pili ikianza na ile ya Barca,timu haina ubunifu,haina speed na umakini wakufanya marking haupo,ubinafsi eneo la mbele..kiufupi huu msimu kwenye UCL tushatoka,kwa sababu hata hatuna uwezo wakuzuia Arsenal wasipate goal kwa beki zile zakutegeana ila kuna uwezekano wa sisi kukosa magoal kwa sababu yakukosa umakini kule mbele na ubinafsi uliopitiliza na kubwa ni kuwa wachezaji waliwaunderstimate sana Arsenal,ukiangalia magoal yale mawili tumefungwa ni uzembe wa namna yakupanga ukuta na kipa kujiposition.

Na hata baada yakufungwa huon timu ikibadilika namna ya uchezaji.

Kimsingi jana tumefungwa kwa kujitakia.
 
Hakuna miracle kwenye football viungo camavinga touchamen valvede mchukue uefa ,uefa ipi ?na hapo Bado arsenal anawakanda nje ndani ,team haieleweki inacheza mfumo upi watu wanakimbia kimbia kama vibaka.
Huu ndio muda wa kutoa sumu zenu mwilini utumieni vizuri! ila kaa ukijua kua all timer champions ni RMA
 
the likes of Dean Huijsein ambaye anapatikana kwa 42 m tu. perez anamtaka kwa udi na uvumba huyu dogo na sio kukaa na feran mendy. Millitao kila siku hospital kama mjamzito
Militao pancha
 
Kote tunakandwa.

Narudia Carlo timu imemshinda. RM inaondoka mikono mitupu msimu huu. Arsenal anashinda Bernabeu na Barca anatukanda popote pale tunapokutana. This comes from a concerned RM fan.
 
mchezaji kuchukuwa kikombe flani haimaanishi kuwa yeye ni bora, nicolas tagliafico na lisandro martinez wa argentina wana world cup, je wao ni bora kuliko Vini?. tumia akili basi, au free kick za Rice zimekuvuruga?
Kwa kweli zimemvuruga haswaa, kuliko hata kipa wa Madrid,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Madradaaaaaa, kimewalambaaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Alaba kwa kweli hakucheza vibaya, na ulitaka acheze nani mwengine? kwa yule kijana hapana, alaba alikuwa always yupo position, yule kijana hupotea kabisa kwenye nafasi.
 
Hakuna miracle kwenye football viungo camavinga touchamen valvede mchukue uefa ,uefa ipi ?na hapo Bado arsenal anawakanda nje ndani ,team haieleweki inacheza mfumo upi watu wanakimbia kimbia kama vibaka.

hilo tatizo hua nalizungumza sana humu ila naishiwa kurushiwa matusi
 
without Ceballos kuna hatari ushindi wetu ukawa ni sare. Hali ya timu katikati inakatisha tamaa, na Arsenal kati kwa kweli wapo vizuri.
Kwenye usijili perez asiahau eneo la kiungo kabisa, Camavinga, tchou wameshuka bmviwango na hata wakiwa kwenye viwango vyao bmvya juu hakuna kikubwa wacho-offer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…