Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Poleni sana, nilijua tu Madrid atafungwa Kwa counter attack, goli zuri sana Valencia wamefunga. Kule mbele wakikosea kutoa pasi wanashika viuno, Valverde atawahi kuzeeka maana wapuuzi kule mbele wanajipaka poda.
Kama dogo Endrick ni kiazi
 
HT: Kwa uchezaji huu hata tucheze dakika 1000 hatupati goal,timu inacheza very slow...wakat wakwenda kupiga counter badala yakufocus na goal,ndio kwanzaa timu inatanua kutegemea kupiga cross wakat hawa jamaa hapa nyuma ni warefu wote.

Kama kawaida beki zetu za kati zinategeana kwenye kuokoa mipira ya kona.

Babu Modric anapiga back&side passes nyingi mno,hawa jamaa wa beki zao za kati zinakuwa zimerelax mnoo,hii game kama tungecheza kwa speed kubwa ya mtafute mtafute tungeshinda kipindi hiki hiki cha kwanza,kwa sababu sababu beki zao pia zinajikoroga.

Vin Jr kwenye game za Valencia hatakiwi kupiga hata faulo ndogo kwa sababu ana ugomvi nao wa miaka yote ambapo huwa hafocus na anachokifanya rather anawaza kwenda kushangilia kuwaumiza washabiki wa Valencia.
Na ndio maana valencia walipigwa 7 na
Barca kwa sababu moto waliokuwa wanapelekewa sio poa
 
Arsenal hii hii unayoiona mbovu inaweza kukushangaza.

Kama Madrid imefungwa nyumbani na timu ambayo ilikuwa karibu na relegation zone unaweza kupuuza facts ya uwezekano wa kufungwa na Arsenal?
Ni kweli ila haitotiea Arsenal amtoe Madrid
 
Hli kombe ni kama kila mtu halitaki, ngoja tuone
Usijipe matumaini mtani, you'll be disappointed!

Sisi hii point moja kwa Betis inatutosha kabisa. Tumepiga mechi nne ndani ya siku kumi pekee, four points clear on the top zinatosha kabisa kupambania Laliga.

Kwa sasa, tunaweza poteza mechi moja na bado tukawa hapo juu bila wasiwasi. Tukutane kwenye Classico!
 
Screenshot_20250406_200736_X.jpg

Afadhali kipa letu limerudi kwa ajili ya mechi na Arsenal.
 
arsenal tunamuondoa robo fainali kwa sababu tatu sababu ya kwanza arsenal hawezi kutufunga zaidi ya goli tatu akijitaidi sana ni goli mbili na pia mechi za hivi karibuni amekua akiruhusu sana magoli cha pili real madrid tuunauwezo mkubwa sana wa ku funga magoli ni ngumu sana kuwazuia hawa watu wanne kukufunga goli vin,rodrygo,mbappe,belligam na diaz msimu huu ata game nyingi tulizopoteza bado tulikua tunaowezo wa kufunga goli ata kama ni moja au mbili pamoja na kwamba tunashida kubwa ya kiulizi msimu huu ila naamini arsenal shughuliake imeisha na shughuli yote inaenda kuishia benarbeue
 
Msimu huu kwa huo mwenendo wenu msitarajie miracles na hopes zozote za kuchukua UEFA....
 
Back
Top Bottom