Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ukiangalia trend ya mechi ambazo tumesumbuka sana na zingine kupoteza ni zile ambazo timu pinzani inacheza mpira wa kazi sana,pass za haraka haraka like counter hivi.

Pair ya Alaba na Ansencio imefail,huyu Alaba ana kazi kubwa sana yakufanya arudi kikosi cha kwanza,vinginevyo awe benchi tu kama Vallejo..beki ya kushoto kumchezesha mtu tofauti na Mendy na mwenzie Garcia huwa inakuwa ni uchochoro sana.

Kimsingi Babu Carlo ana kazi yakufanya,ni vile tu hawa jamaa walishachachawa na dakika 120,tumeshinda kwa uzoefu wa knockout stages,ila perfomance leo eneo la nyuma haswa tulitepeta haswa.
 
I lipiga pasi na vin na ikafika.

Bonge la assist, Vin jaja alikua kwenye kiwango kizuri
 

Attachments

  • FB_IMG_1743587782536.jpg
    FB_IMG_1743587782536.jpg
    24.5 KB · Views: 13
Carvajal ni majeruhi haijulikani akipona atarudi kwenye kiwango chake kwa muda gani?

Vervede ni wa dharula kama ilivyo kwa lucas, ila dharula zao zinatofautiana

Vervede anahitajika eneo la kiungo ila alirudi nyuma kutokana majeraha ya carvajal na vasquez.

Vasquez mbele alishapoteza namba kitambo, akarudishwa nyuma ambako madrid imekua ikisua sua kwa kua haikua na backup ya carvajal.

So ikiwa Vervede anaweza kucheza kiungo na nafasi yake ipo, ulitaka nimlimganishe nani mwingine kama sio vasquez ambae hakuna nafasi ingine anayoweza kucheza kwa sasa zaidi ya beki mbili!!

Vovote Carvajal atakavyorudi naamini bado atakuwa bora kuliko trent.

Valverde ni bora akaendelezwa kucheza beki ya kulia, timu inahitaji balance katikati ambapo yeye na Jude wakicheza pamoja inakosekana.
 
Hawajaamua ila uwezo wa RM huu msimu mdogo sana. Match zote ni kama final kwetu, individual brilliance ndo inaamua games hakuna team work. Carlo lazima aondoke uwezo wake umefika mwisho.

Hizi porojo za individual brilliance ni takataka. kuishi kwa kukariri vitu amabavo havina uhalisia
Mbona hatuoni hizo individual brilliances vini na rodrygo wakizifanya Brazil?
 
Vovote Carvajal atakavyorudi naamini bado atakuwa bora kuliko trent.

Valverde ni bora akaendelezwa kucheza beki ya kulia, timu inahitaji balance katikati ambapo yeye na Jude wakicheza pamoja inakosekana.
Sio kweli mzee hiyo ni imani yako na timu haihitajì imani inahitaji uhakika.

Bora tret awepo kwanza harafu swala la carvajal kurudi na ubora lifuate

ikiwa carvajal atamuweka bench Tret timu inafaidika na matokeo.

Kuliko wasisajili beki ya kulia wamsubiri carvajal, vipi kama asipocheza tena kwa ubora timu itapata nini?

Tunaihitaji uhakika sio kamari zako za mdomoni.

Kuhusu vervede aliemuhamisha namba ni carlo, je una uhakika dogo ana enjoy kucheza namba hiyo au anacheza kwa heshima ya kocha tu?

Mfano carlo akiondoka akaja kocha mwingine una uhakika vervede atakubali kuendelea kutumikia hiyo namba?

Au huyo kocha ajae unauhakika atakuja na mbinu ya kumchezesha vervede beki?

Najua hauna uhakika na vyote kwahyo broo ni bora Tret aje ili kikosi kiwe kipana upande wa backline
 
Hizi porojo za individual brilliance ni takataka. kuishi kwa kukariri vitu amabavo havina uhalisia
Mbona hatuoni hizo individual brilliances vini na rodrygo wakizifanya Brazil?

Nani anaongelea Brazil hapa? Umekula maharage ya wapi mkuu?

Game ya Jana goli gani halijahitaji individual brilliance?
 
Nani anaongelea Brazil hapa? Umekula maharage ya wapi mkuu?

Game ya Jana goli gani halijahitaji individual brilliance?

kuna sehemu unakwama kiakili mkuu. NINACHOKUKUMBUSHA TU, WATU WA NAMNA KAMA YAKO WENGI NDIO WALIOKUWA WAKILILIA KIPINDI KOCHA NI ZIDANE KUWA NAE ANATEGEMEA INDIVIDUAL BRILLIANCE KUWA UWEZO WAKE NI MDOGO.
 
HT: Kwa uchezaji huu hata tucheze dakika 1000 hatupati goal,timu inacheza very slow...wakat wakwenda kupiga counter badala yakufocus na goal,ndio kwanzaa timu inatanua kutegemea kupiga cross wakat hawa jamaa hapa nyuma ni warefu wote.

Kama kawaida beki zetu za kati zinategeana kwenye kuokoa mipira ya kona.

Babu Modric anapiga back&side passes nyingi mno,hawa jamaa wa beki zao za kati zinakuwa zimerelax mnoo,hii game kama tungecheza kwa speed kubwa ya mtafute mtafute tungeshinda kipindi hiki hiki cha kwanza,kwa sababu sababu beki zao pia zinajikoroga.

Vin Jr kwenye game za Valencia hatakiwi kupiga hata faulo ndogo kwa sababu ana ugomvi nao wa miaka yote ambapo huwa hafocus na anachokifanya rather anawaza kwenda kushangilia kuwaumiza washabiki wa Valencia.
 
Back
Top Bottom