Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Penalty Goal! Mbappe dinks ball down middle of the goal! Real Madrid 1-0 Leganes
1743320347745.gif
 
Mtangazaji alikua anasema mbappe hajawahi kufunga free kick kwenye career yake ya soka.

Dakika 0 tu jamaa anafunga kwa mara ya kwanza
Ndugu mtani, mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa, Mbappe hajawahi kufunga goli la free kick. Freekick goal huwa haina assist, inapigwa direct kwenda golini.

😅😅😅😅
 
Ndugu mtani, mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa, Mbappe hajawahi kufunga goli la free kick. Freekick goal huwa haina assist, inapigwa direct kwenda golini.

😅😅😅😅
Sawa ubao unasoma ngapi ngapi
 
Itakua classico ya manyanyaso makali sana kwenu watani. Tutawapika kikatili mno!
 
Attachments

  • 20250329_223114.jpg
    20250329_223114.jpg
    181.5 KB · Views: 20
Hiki hapa kikosi chetu,

Tunatoboa ila kwa hizi beki Wakamalia waishi na Gg tu uhakika au 3+

Halla Madrid
 
Attachments

  • FB_IMG_1743530828448.jpg
    FB_IMG_1743530828448.jpg
    76.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom