Ngoja amalize msimu bhna achukue hata kombe moja tumuage kwa heshimaCarlo timu imemshinda kila match tunashinda kimachale machale kama underground team. Hakuna consistency wala convincing victories.
Ngoja amalize msimu bhna achukue hata kombe moja tumuage kwa heshima
Harafu kocha anamuangalia tu, anashindwa kujiongeza kumtoa. Tchou arudi nyumaAlaba anawasaidia tu Sociedad kufunga maninaa
Tumetoka mbali nae mzee acha tumvumilie miezi mi 4 iliyobaki, mzee kapambana sana uwezo wake umeishia hapo.This is not entertainment. Kila match tunajichimbia shimo then dig ourselves out of it That's unacceptable. Carlo aachie timu. Kwa timu nzuri hatuwezi rudisha tutapigwa kama ngoma
Imekua rede sasa, 3-4
Tunamtoa huyu kocha ana faida ya sub nyingi hajafsnya.Tutoke Leo kuliko kuchezea nyingi final.
Hii game bana., kama jamaa wameamua kukaza, ninadhani wanataka tuende matuta, ama wana lao jambo half ya pili.,
Mzee ni kama ameishiwa mbinu hivi, na bado ana ile mambo ya kumwamini mchezaji fulani, mtu amechoka atausaidia vipi?Hawajaamua ila uwezo wa RM huu msimu mdogo sana. Match zote ni kama final kwetu, individual brilliance ndo inaamua games hakuna team work. Carlo lazima aondoke uwezo wake umefika mwisho.