Tret Alex Anold anamwaga wino,, msimu ujao anaweza kua mbavu yetu ya kulia kama mambo yataenda sawia
HUYO JAMAA NI CHUNGIO. Jamaa ni mweupe sana
Tret Alex Anold anamwaga wino,, msimu ujao anaweza kua mbavu yetu ya kulia kama mambo yataenda sawia
Kwa upande wa kuzuia ni kwel chujio ila sio sawa na lucas vasquez.HUYO JAMAA NI CHUNGIO. Jamaa ni mweupe sana
Kwa upande wa kuzuia ni kwel chujio ila sio sawa na lucas vasquez.
Carvajal ni majeruhi haijulikani akipona atarudi kwenye kiwango chake kwa muda gani?kwanini umlinganishe na Lucas na sio Carvajal au Valverde ambao ndio starters wetu? lucas ni mchezaji wa dharura, au huyo anorld anakuja kukaa bench?
Hata vervede anahitajika ndani nimuone hata akitembea tembea uwanjaniSecond half ni lazima Vini, Rodrygo na Tchoumeni waingie fasta sanaaa kmmmmk