Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

We're defending champions unasema tunaota mchana? Umeanza lini kufuatilia football?
Unadefend kwa kutegemea matokeo ya mwingine yakunufaishe wewe?

We ulishindwaje kutufunga?

Pambana ushinde mechi zako ndo zina uhakika wa 100% kukupa ubingwa.

Mambo ya waki tuki waachie wengine.
 
We've been la liga leader tangu msimu uanze, sasa kama hatushindi mechi zetu tungekuwa hapo? Kitu cha kufanya ukija hapa punguza kiherehere na uongee football
 
Kwamba tangu msimu uanze nyinyi ndo mnaongoza?

Hii ya nyinyi kuongoza tangu msimu uanze ndo football unayoizungumzia?
 
We're on the top of la liga, na hiyo ndio football ninayoongea
 
Back
Top Bottom