Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Hata ningekua mimi ningetoa tu mbona.Katoa assist ya goli la pili 🤣
Hata ningekua mimi ningetoa tu mbona.Katoa assist ya goli la pili 🤣
Jamaa wako physically kila waki battle na wachezaji wetu wanashinda wao.Tuko under pressure tangu kipindi cha pili kianze
Ili aingie rudiga Wa kutoka alikua ni Tchouameni mwenye yellow anaenda kumtoa asencio aisee.Hizi changes hata sizielewi
Na hizi sub ndio naona zinaharibu kabisaGame inazidi kuwa ngumu kadiri muda unavyoenda...
Duh kwa mbinde ushindi umepatikana.... kipindi cha pili chote roho juuNa hizi sub ndio naona zinaharibu kabisa
Atletico ashinde ikishindikana atoe hata sare tu basiTumeshinda lakini wachezaji wetu walionekana kichoka sana, game ingeendelea kidogo tu jamaa wangechomoa.
Kesho Barca na Atletico sisi yetu macho