Madrid hapa nyuma kuna shida tayari tushafungwa moja
Ndugu zangu nisaidieni link, leo kiukweli majukumu yamekuwa mengi
Shukran sana BossDownload hii app inaitwa Live Ten Sports, utanishukuru baadae
Hizi nafasi watajuta badae
Vasquez kama kawaida yake anongeza mzigo tu.
Mtazampo wangu Tofauti ya vin na Rodrigyo kiuchezaji.
Ni kwamba vini ana kiasi, mwepesi na ana kasi kubwa inayomfanya kua na uwezo wa kukimbia umbali mrefu na mpira.
Ila Rodrigyo ana utulivu na shabaha kumzidi vin.
Yaani Ndani ya box Rodrigyo ni harari kuliko vin
Msimu uliopita sometimes alikua anakimbilia sana kushoto na alifanya vizuri.Rodrigyo utampenda zaidi aje kucheza huku kulia sasa. Kule kushoto sio kwake kule
Mi naona anaruka ruka tuAliondolewa akaenda kucheza wing ya kulia, nashangaa dakika 5 za mwisho karudi fullback
Mi naona anaruka ruka tu