Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Baadhi ya wachezaji wa France hua siwaelewagi kabisa kichwani mwao.

Sijui ndio ubishoo au ndio overrated wanaita.

Mfano Dembele,Olise na wenzie, wana mapepe sana.

Luka modric kamkalisha mmoja kwa chenga ya mwili nikaona kijana katulia kwanza.
 
Nyie vibonde wa Arsenal……mjiandae huko laliga !Uefa huku mmeingia cha kike mnashonwa tu
 
Huyo wa bournemouth chelsea wanamtaka pia.
Mwenyewe amesema ndoto yake ni kutua madrid, pia madri kwa sasa wana wachezaji wachache sana raia wa Hispania, ukimtoa carvajal majeruhi, lucas vasquez mchomaji, Ceballos majeraha na Acensio kitasa, hakuna tena mhisapania alie penya.

So Inasemeka sera ya perez kwa sasa ni kuongeza wachezaji vujana hasa toka Spain pale pale.

Ko hili linaweza kua chaguo sahihi kwa madrid sidhani kama watashindwa kukomalia
 
Uzuri ni kwamba mchezaji hushawishika hata bila kushawishiwa na mtu kuchezea RM na ndiyomaana huwa tunafanikiwa kupata wachezaji wanaokuwa na uchungu na club sababu ya mapenzi waliyonayo hata kabla ya kujiunga na club.

Natumai na haya madili yanayoongelewa yatafanikiwa.
 
Kwa upande wa kuzuia ni kwel chujio ila sio sawa na lucas vasquez.

kwanini umlinganishe na Lucas na sio Carvajal au Valverde ambao ndio starters wetu? lucas ni mchezaji wa dharura, au huyo anorld anakuja kukaa bench?
 
Back
Top Bottom