Mkuu pole sana, yaani baada ya siku 3 tu kutolewa Champions league nasikia huko Newcastle anakuburuza saa hizi. Ndio maana huonekani huku wiki hii
hatari sana, inaonekanwa analala tu hata kuamka hataki. Washabiki wa PL hawachelewi kujiua wapendwa wake wawe karibu nae tu