lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,320
update nimuhimu wakuu
halafu huyo kijana jude ndio wanampigia debe abebe ballon dor dahHapa Modric na Diaz ni lazima, Jude na Tony waende nje
halafu huyo kijana jude ndio wanampigia debe abebe ballon dor dah
Msonge wapi,hakuna kitu hapo,ndio Mwisho wenu hapo,mnataka kujimilikisha kombe,kila siku mshinde nyie tuVazquez kasababisha penalty ya kijinga, ila hakuna shida., bado tunasonga
Tulia kwanza hifadhi maneno,Vini ameshalinganisha mzaniMsonge wapi,hakuna kitu hapo,ndio Mwisho wenu hapo,mnataka kujimilikisha kombe,kila siku mshinde nyie tu
Bayern ndio bingwa,kazibiti zile counter zenu za michongo
Sahihi kabisa ,Dogo bado hajawa fundi wa penatUpigaji wa vini wa penati naona kama sio mzuri sanaa
Upigaji wa vini wa penati naona kama sio mzuri sanaa
Yeah, kiukweli kama ninaona anabahatisha hivi, ila ndio ameteuliwa, acha tuheshimu maamuzi ya CoachUpigaji wa vini wa penati naona kama sio mzuri sanaa