Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
FT: Bayern Munich 2-2 Real Madrid
Yeah, kiukweli kama ninaona anabahatisha hivi, ila ndio ameteuliwa, acha tuheshimu maamuzi ya CoachUpigaji wa vini wa penati naona kama sio mzuri sanaa
Eeh kakimbizwa aiseeeeeeh Jamal talented Sana tuuVazquez leo alilemewa kweli kweli, yule Jamal ni msumbufu na ana speed kweli kweli., halafu Tuchel kuona udhaifu wake akamuongezea Alphonce Davies,
dah kwa kweli analazimisha tu, penalty zake nyingi hua sio nzuri kabisa Hizo doto anatakiwa apige rodrygo.
Toni kiukweli yupo vizuri, ninakumbuka aliwahi kumpa pasi Vinicius kama ya leo, yaani pasi inatolewa kwa maelekezo.
Honestly dogo leo game ilimkataa,Jude alikuwa anarukaruka tu Pale ule usajili mlipigwa kenge nyie
Big PointHonestly dogo leo game ilimkataa,
Ni kawaida kwa wachezaj wakubwa game kuwakataa, Hata halaand game zote za Quarter final alipoteana![]()
Hapana hana match fitness ya 100% sababu katoka kwenye injury na alikuwa aki train harder huku akiwa na virus flani mwiliniJude alikuwa anarukaruka tu Pale ule usajili mlipigwa kenge nyie
ila huyo dogo kuwa na PR kubwa yakubeba ballon dor zaidi ya hawa watu hicho kitu kinafikirisha sana yani anatakiwa awe mbeba mbeba timuJude alikuwa anarukaruka tu Pale ule usajili mlipigwa kenge nyie
Ni sahihi,hii timu babu Carlo ashafikia ukingoni...aje kocha kijana wazungumze lugha moja na aina ya uchezaji ubadilike..afu pia sijui kama umenote,timu ikikosekana mchezaji anayetumia mguu wakushoto inakuwa haina balance.halafu huyo kijana jude ndio wanampigia debe abebe ballon dor dah
hii timu ni bora sana ila sometimes unatamani kocha kama alonso au zidane awepo kuwakomaza hao madogo na tatctis kali zakupambana na hawa vigogo kama man city au Bayern ila soo far ni sehemu chache tu inahitaji improvement kweny squad
Ni keeper mzuri sema hakuna mtu aliyekamilika unaemuona mbele ya lunin ni keeper Neuer ambaye ni one of the GOAT goalkeeper lakini nae huwa anafanyaga mistake blunders plus ana uzaifu wakeHuyu kipa wetu kama Degea,za mbali mtu akipiga imo ila za papo kwa papo anapangua....ni match za mfululizo sasa washamsoma,mtu akiwa nje tu akipata upenyo akipiga imo.
na hapo ndipo tutakapo kuwa na uhitaji wa vijana hawa wawiliNi sahihi,hii timu babu Carlo ashafikia ukingoni...aje kocha kijana wazungumze lugha moja na aina ya uchezaji ubadilike..afu pia sijui kama umenote,timu ikikosekana mchezaji anayetumia mguu wakushoto inakuwa haina balance.
kwa upande wa mtu sahihi rightfoot midfielder ambaye pia ni both foot player (miguu yote) ni j. musiala which i doubt is highly unlikely kumpata maana itakuwa niNi sahihi,hii timu babu Carlo ashafikia ukingoni...aje kocha kijana wazungumze lugha moja na aina ya uchezaji ubadilike..afu pia sijui kama umenote,timu ikikosekana mchezaji anayetumia mguu wakushoto inakuwa haina balance.
Kweli aisee, hata city walizomfunga,nyng Ni nje ya box. Rejea goli zote za fodenHuyu kipa wetu kama Degea,za mbali mtu akipiga imo ila za papo kwa papo anapangua.😂😂...ni match za mfululizo sasa washamsoma,mtu akiwa nje tu akipata upenyo akipiga imo.
Uchambuzi makini sana 😊na hapo ndipo tutakapo kuwa na uhitaji wa vijana hawa wawili
1. florian wirtz au j. musiala
2. xhabi alonso
1 wirtz ni mchezaji bora sana ancheza 7.8.10 japo yeye hupendelea 10 sometimes anachezeshwa role ya false 9
huyu huyu pia wing ya kushoto inamkubali refer mechi ya german
musiala na wirtz wote walicheza wing
sasa pros and cons
1. huyu kwa madrid ataweza kuja kuwa successor wa tony kross kwani chini ya mwalimu bora anaweza mpa majukumu ya 8 kama CM zaidi ya LCM na kwa upande wa RCM mkuu wa kushoto anapewa valverde akiwa successor wa modric then mzani kati una balance CAM anapandisha jude huku DM anashuka Tchomeni hapo midfield inakuwa ime balance na kadrid muda unavozidi kwenda mwalimu anaweza ku opt new various formation kuwa jaribu hao vijana ili wapate their natura position to play
2 upande wa cons
ni wirtz ni right foot na Madrid ina caliber kubwa ya wachezaj right footed ambao wanapambania nafasi kubwa mfano wirtz itakuwa ngumu kumuweka benchi jude sababu jude ni bora defensive wise plus ball carrier mzuri anaweza ku build mchezo na ku intercept sema ni kama mzito mflani hivi hii ni kwasababu carlo anamchezesha upande wa out of position na hauwez na hatuwez muona bora uko juu false 9
2 wirtz itakuwa ngumu sana achezeshewe starter wa LW maana huko kuna upinzani wa rodrygo na vinny plus mfalme ajae anapendelea kucheza LW zaidi ya ST (mbappe)